Mange Kimambi yumo humu JF....

never on earth sio type yangu atiii
Achana nae hawa watoto wadogo wa juzi wanasumbua sana,
Wazungu husema
"silence is an answer too"
Na waswahili husema
"jibu la mjinga ni kukaa kimya"
Mpotezee tu huyo mtoto vannessa2.
 
Achana nae hawa watoto wadogo wa juzi wanasumbua sana,
Wazungu husema
"silence is an answer too"
Na waswahili husema
"jibu la mjinga ni kukaa kimya"
Mpotezee tu huyo mtoto vannessa2.
twende zetu kwenye majukwaa yetu goldie jana niliona sir chande akikukaribisha kwenye chama nilicheka balaa!
 
Serikali ikiamualia ikimualia , endelea kuota , anazaidi ya miaka 5 anatukana watu tu na mkuu wetu wasasa asivyopenda kujaribiwa unadhani angevumilia udhalilishaji anaoufanya Mange kule insta?
Alipokua anatukana kina lowasa mlikua mnamuona ana akili Sasa kawageukia mnasema Hana akili ... Mbona mnakua wanafiki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] MIE mange sjaona tatizo lake..
 
Mmemchokoza mnamkimbia. Akirudi patachimbika. Sipati picha anavyokusanya details za Miss Natafuta
 
twende zetu kwenye majukwaa yetu goldie jana niliona sir chande akikukaribisha kwenye chama nilicheka balaa!
Hahahaaa.....
Karibu bwana tuungane twende kwa sir andy chande.
Maana mtaani hakueleweki kabisa bora nifanye jambo moja la kunisaidia huko mbeleni.
Karibu pia Miss Natafuta.
 
unatisha umejiungaje mama
Hahahaaaa......
Mimi sio mama.
Mimi ni mwanaume rijali
Hii avatar ni mdogo wangu nimemuweka kwa kuwa nampenda sana. ( samahani lakini )

Nimeenda makao makuu pake posta. sio kazi rahisi inahitaji moyo na uvumilivu.
 
ahahaa umemtoa nani kafara ?
 
Utafikiri kakopa vile.

Ni lini alisoma chuo kikuu? Mangi kwa kujipenyeza-penyeza kama ushuzi wa ngomani.
Faiza mbona unajiingiza kwenye ligi ambayo haikufanani? Unaijua mitusi ya mange wewe au unaisikiaga tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…