Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
never on earth sio type yangu atiiiVanessa v/s miss natafuta, battle......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
never on earth sio type yangu atiiiVanessa v/s miss natafuta, battle......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una nini wewe mbwaaaaa mnuka Jasho la bongonever on earth sio type yangu atiii
Achana nae hawa watoto wadogo wa juzi wanasumbua sana,never on earth sio type yangu atiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu bora matusi basi huwa anakwenda mbali zaidi ya hapo ,anatafuta details zako zote unashangaa anaweka picha ya marehemu dada ya mwaka 90
twende zetu kwenye majukwaa yetu goldie jana niliona sir chande akikukaribisha kwenye chama nilicheka balaa!Achana nae hawa watoto wadogo wa juzi wanasumbua sana,
Wazungu husema
"silence is an answer too"
Na waswahili husema
"jibu la mjinga ni kukaa kimya"
Mpotezee tu huyo mtoto vannessa2.
Alipokua anatukana kina lowasa mlikua mnamuona ana akili Sasa kawageukia mnasema Hana akili ... Mbona mnakua wanafiki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] MIE mange sjaona tatizo lake..Serikali ikiamualia ikimualia , endelea kuota , anazaidi ya miaka 5 anatukana watu tu na mkuu wetu wasasa asivyopenda kujaribiwa unadhani angevumilia udhalilishaji anaoufanya Mange kule insta?
mange hana mkopo yule aliishia la saba elimu yake kaunga unga sana ana certificate ya uarabuni ya sayansi kimu
Angekua tanzania ange watukanaKama haogopi chochote kwa nini huwa anatukana mtandaoni?
Anaweza kuwatukana watu ana kwa ana?
Hahahaaa.....twende zetu kwenye majukwaa yetu goldie jana niliona sir chande akikukaribisha kwenye chama nilicheka balaa!
unatisha umejiungaje mamaHahahaaa.....
Karibu bwana tuungane twende kwa sir andy chande.
Maana mtaani hakueleweki kabisa bora nifanye jambo moja la kunisaidia huko mbeleni.
Karibu pia Miss Natafuta.
Hahahaaaa......unatisha umejiungaje mama
ahahaa umemtoa nani kafara ?Hahahaaaa......
Mimi sio mama.
Mimi ni mwanaume rijali
Hii avatar ni mdogo wangu nimemuweka kwa kuwa nampenda sana. ( samahani lakini )
Nimeenda makao makuu pake posta. sio kazi rahisi inahitaji moyo na uvumilivu.
Hawatoi kafara hapo hapoahahaa umemtoa nani kafara ?
ushaanza kupata pesa?Hawatoi kafara hapo hapo
ila wanakupa njia za kupata pesa kwanza baada ya muda ndio kafara inahusika.
Inaweza ikawa baada ya miaka 3 au 5 au zaidi, ni maamuzi yao wenyewe.
Ww ndiyo mwenye ukimwi auatanichamba mara ngapi? rita mlaki shangazi yangu eti
Ndio, ila juhudi zangu katika ufanisi wa kazi yangu ndio itakayo niongezea pesa nyingi zaidi.ushaanza kupata pesa?
Faiza mbona unajiingiza kwenye ligi ambayo haikufanani? Unaijua mitusi ya mange wewe au unaisikiaga tu!Utafikiri kakopa vile.
Ni lini alisoma chuo kikuu? Mangi kwa kujipenyeza-penyeza kama ushuzi wa ngomani.
Faiza mbona unajiingiza kwenye ligi ambayo haikufanani? Unaijua mitusi ya mange wewe au unaisikiaga tu!