Mange Kimambi yumo humu JF....

hayo ni matusi kwa wazazi wengi wanaowapeleka watoto wao st Kayumba (SHULE za kata), si kwa sababu ni wazembe ila kwa sababu ndio uwezo wao kwa wakati huo!
Tafadhali weka akiba ya maneno maana maisha ni safari ndefu!!!
 
Alipokua anatukana kina lowasa mlikua mnamuona ana akili Sasa kawageukia mnasema Hana akili ... Mbona mnakua wanafiki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] MIE mange sjaona tatizo lake..


Mkuu me team Mange maana yeye ndo waziri mkuu wetu wa Insta , nilikuwa namjibu inzi wa kijani aliyesema siku za mange kukamatwa zinahesabika..
 
Hawatoi kafara hapo hapo
ila wanakupa njia za kupata pesa kwanza baada ya muda ndio kafara inahusika.
Inaweza ikawa baada ya miaka 3 au 5 au zaidi, ni maamuzi yao wenyewe.
nikipata pesa naruhusiwa kucharua? au ndo lazma ntafiliwa
 
Sioni lipi hilo alilowafungua nalo macho.

Sana sana anakujaza ujinga tu.
Ame campaign sana against kuondoa Bunge live na Freedom of information-sisi tukamuona mjinga-leo hii Tanzania is ime slip back to the abyss of dark ages gone by
 
Zaidi sana ni kama ana watu wake,mpaka chai na maandazi uliokula Leo ataweka picha yake na ulipo ya kopa
 
Sioni lipi hilo alilowafungua nalo macho.

Sana sana anakujaza ujinga tu.
WEWE mama usituletee sera zako za chama wewe kama njaa zako zinamalizwa na hao majani basi usitujaze ujinga sie kaa ukielewa waambie na hao mbwa wenzio wa hapo lumumba tumeshachokaa na matendo yenuuuu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 

Mbwa na bitch wa mzungu yupi bora?

Baba'ko alikuwa CCM kwa hiyo na yeye mbwa mwenzetu.

Nyumbu wahed.
 
mange hana mkopo yule aliishia la saba elimu yake kaunga unga sana ana certificate ya uarabuni ya sayansi kimu
Hhahahaa akikuskia atakuchamba wik nzima ...na id yako ataipata na picha yakijjn kwenu atakua nayo....simpendi jmn yule mdd mbeeeea km nn cjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…