Ban kala mmoja huyo bibi mbona kaachwa?
ItifakiBan kala mmoja huyo bibi mbona kaachwa?
Ban kala mmoja huyo bibi mbona kaachwa?
Ban kala mmoja huyo bibi mbona kaachwa?
maisha binafsi ya watuNakiri kua mengi tumeyajua kupitia mange,na kuna jitihada kubwa zinafanywa kumnyamazisha,mi namuombea kwa mola aendelee kumlinda tuendelee kupata yale yanayofichwa na kina fulani japo nae ana mapungufu yake.
Yumo ila kwa sasa hawezi kuja humu kwani anauguza vidonda vya kuachwa pia anatafuta kibabu kingine cha kizungu kimtunze.
BBA ya Udsm ambao walikua wanasoma jioni pale Business School walikua hawapati mkopoASEME ALIPEWA MKOPO KUSOMA CHUO GANI
Fekero la mange hili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamna jipya kila siku kaachwa kaachwa , aliachwa mama ako mbona we bado unaishi? Maisha si lazima ndoa tu, kuna masingle mother wangapi mtaani wanaishi tu kwa raha zao na wanalea watoto wao?
Mange kila siku anawajambisha na skendo mpya nyie mmekazana tu ameachwa kama yeye ndo wa kwanza
Fekero la mange hili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha ukuda wewe nange ana bachelor degree tena sio ya kuunga kasoma Udi na kakaa mabibo hostelmange hana mkopo yule aliishia la saba elimu yake kaunga unga sana ana certificate ya uarabuni ya sayansi kimu
Huyu Natafuta anatafuta kufahamika tu hapa jukwaani kwa kuongea asivyovijua!Nina mashaka na chanzo chako cha taarifa. Mange Kimambi amesoma UDSM kiwango cha shahada ya kwanza(Bachelor degree) miaka 2002 hadi 2006 hapo katikati. Kuna watu wamesoma nae humu watakuja kutuambia exactly alisoma lini na kozi gani kwa miaka mingapi.
ha ha ha ha ha ha eti niniiiiii.......Kupatwa kwa mange...
Kweli kabisa personal life za watu na mitusi ya kutisha ndo vinamuharibia yeye angejikita kwenye politics na maisha yake tu ingekuwa fresh.maisha binafsi ya watu
Muwe mnaongea vitu vya uhakika. Mange amesoma degree mpk masters.baba yao aliwapeleka watoto wake shule nzuri miaka hiyo ila hakuna walichokipata bora sisi tuliosoma st kayumba mafanikio tumeyaona ila mange kuhusu shule anyamaze tu ndo laana inamsumbua kuchezea nafasi ya elimu bora
Muwe mnaongea vitu vya uhakika. Mange amesoma degree mpk masters.
Acha ukuda wewe nange ana bachelor degree tena sio ya kuunga kasoma Udi na kakaa mabibo hostel
kasoma ingia kwenye page yake utaona kabandika aliposomea na mayokeo yake kama unamchukia sawa lakini usilazimishe mambo ya uongo maana haikusaidii wala haitabadilisha matokeo yake wala elimu yakoUshahidi,degree alisomea wapi?
Alianza degree ya computer science RMIT university Australia (in colaboration with UDSM) baada ya mwaka akaacha akasomea Business administration chuo kingine cha huko huko Australia sikumbuki jina lake. Lakini 100% degree anayo. Masters alisomea dubai anajua mwenyewe chuo alichosoma. Lakini kuhusu degree nina uhakika asilimia zote.Ushahidi,degree alisomea wapi?