Mange Kimambi yumo humu JF....

Mange Kimambi yumo humu JF....

unafurahia uzembe wa baba ako kukupeleka st.kayumba?...baba ake mange alisimamia nafasi yake kama baba kuhakikisha wanae wanasoma shule nzuri na wanatambua mambo yanavyoenda...we una kazi yakuponda tu...ndo mana st.kayumba zako zimekufanya uwe mjinga usijue mambo ya nchi yako yanavyoenda....bora huyo mange anaeongeaga point kuiokoa nchi
sasa unaweza kulinganisha sisi wa st kayumba na watoto wa mr kimambi?
 
Hahaaa...alisoma UCC na kuna kitu flani faculty ya Science pale kilikua kinaitwa "Virtual Learning",huyu mwehu ndio alikua anajisomea,alivyo na makeke akanunua chumba mabibo hosteli nae aonekane mwenyeji...

All of these alikuja ku-disco mbaya akapotelea...yule hajawahi faulu lasaba,olevel au alevel,kote kafeli tu...

Nadhani wazazi wake walimzungusha visekondari vya zimbabwe au somewhere,ila mfeliji mzoefu.....hahhahaaaa
waambie mkuu mange kuhusu shule hana lolote bora mzee wake angempa tu hyo hela awekeze
 
executive secretary !
halafu kuna watu wakisikia secretary sijui wanachukuliaje
cheki maana ya secretary mkuu ! mimi sio office attendant
Hivi kumbe U-secretary sio kazi ya maana? Duh......au mi ndo sielewi hapa?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
executive secretary !
halafu kuna watu wakisikia secretary sijui wanachukuliaje
cheki maana ya secretary mkuu ! mimi sio office attendant
Sawa.
Kuna sehemu nimekuta Senior secretary, principal secretary etc.
It depends upo wapi na unafanya kazi gani na qualification gani.
 
Victoria umepatia...kulikua kuna kakitengo fulani hivi pale Faculty of Science kanahusu kitu kinaitwa "Virtual Learning" na mkuu wake alikua professor mmoja hivi wa Engineering alikua anaitwa Prof BMM Mwinyiwiwa...

Hicho kiprogram kilikua hakichukui waliofaulu form six,walikua wanachukua waliofeli na vi form four failure ni kama Mature Entry hivi na sidhani kama kulikua na kitu "degree" kwenye hiyo kitu...

Yaani huyu dada ni kilaaaza halafu mbwembweee,I really doubt ukweli wa anayosema[emoji23]
Mbona una sound kama Mange mwenyewe ?
 
Sema tu group lake lilikua la akina irene kiwia , loveness wale ndo walikuwa wanasomea degree . Ila Mange hana degree.labda hiyo MSc in bussiness administration , aliosomea Dubai
Sasa kafanyaje Msc wakati hana Bsc ?
Halafu inakuwaje ni Msc in Business administration ?
 
Mkuu kama unge andika kwa lugha ya kiswahili nahisi kinge nyooka. Hiki kimalikia Elizabeth hakija nyooka hapa.
Sema ningeshuka level yako ya lugha ungenielewa- Wana Shakespeare wote wamenielewa
 
Back
Top Bottom