Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hahahhahhahaha , you made my day mate .kama hakuwezi weka real name
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhahhahaha , you made my day mate .kama hakuwezi weka real name
sasa unaweza kulinganisha sisi wa st kayumba na watoto wa mr kimambi?unafurahia uzembe wa baba ako kukupeleka st.kayumba?...baba ake mange alisimamia nafasi yake kama baba kuhakikisha wanae wanasoma shule nzuri na wanatambua mambo yanavyoenda...we una kazi yakuponda tu...ndo mana st.kayumba zako zimekufanya uwe mjinga usijue mambo ya nchi yako yanavyoenda....bora huyo mange anaeongeaga point kuiokoa nchi
Secretary au?alete vyeti vyake toka kuzaliwa hadi elimu yake ya juu
na mimi nitaleta vyangu
waambie mkuu mange kuhusu shule hana lolote bora mzee wake angempa tu hyo hela awekezeHahaaa...alisoma UCC na kuna kitu flani faculty ya Science pale kilikua kinaitwa "Virtual Learning",huyu mwehu ndio alikua anajisomea,alivyo na makeke akanunua chumba mabibo hosteli nae aonekane mwenyeji...
All of these alikuja ku-disco mbaya akapotelea...yule hajawahi faulu lasaba,olevel au alevel,kote kafeli tu...
Nadhani wazazi wake walimzungusha visekondari vya zimbabwe au somewhere,ila mfeliji mzoefu.....hahhahaaaa
executive secretary !Secretary au?
mwambie aje na vyeti na aseme huo mkopo alisomea chuo gani?Mange njoo uwajibu magreat thinkers
Yupo humu anaangalia nan anamtukana sana...amshukieMbona mange acoment
[emoji23][emoji23][emoji23]anajitahid sana kuitumia vizur master yakeana masters ya instagram posts management
Hivi kumbe U-secretary sio kazi ya maana? Duh......au mi ndo sielewi hapa?executive secretary !
halafu kuna watu wakisikia secretary sijui wanachukuliaje
cheki maana ya secretary mkuu ! mimi sio office attendant
Hawezi, avatar na username havitoshi...Yupo humu anaangalia nan anamtukana sana...amshukie
Sawa.executive secretary !
halafu kuna watu wakisikia secretary sijui wanachukuliaje
cheki maana ya secretary mkuu ! mimi sio office attendant
Mbona una sound kama Mange mwenyewe ?Victoria umepatia...kulikua kuna kakitengo fulani hivi pale Faculty of Science kanahusu kitu kinaitwa "Virtual Learning" na mkuu wake alikua professor mmoja hivi wa Engineering alikua anaitwa Prof BMM Mwinyiwiwa...
Hicho kiprogram kilikua hakichukui waliofaulu form six,walikua wanachukua waliofeli na vi form four failure ni kama Mature Entry hivi na sidhani kama kulikua na kitu "degree" kwenye hiyo kitu...
Yaani huyu dada ni kilaaaza halafu mbwembweee,I really doubt ukweli wa anayosema[emoji23]
Sasa kafanyaje Msc wakati hana Bsc ?Sema tu group lake lilikua la akina irene kiwia , loveness wale ndo walikuwa wanasomea degree . Ila Mange hana degree.labda hiyo MSc in bussiness administration , aliosomea Dubai
Hahaaa Jf burudani.Uyooo uyoo uyoooo nimemuona nimemuona anakimbilia insta kamata kamata kamata mtt wa Kimambi uyo
We jamaa kazi ya kunya barabarani unaiweza Mkuu.Poa[emoji12]
Sema ningeshuka level yako ya lugha ungenielewa- Wana Shakespeare wote wamenielewaMkuu kama unge andika kwa lugha ya kiswahili nahisi kinge nyooka. Hiki kimalikia Elizabeth hakija nyooka hapa.