Mange Kimambi yumo humu JF....

In the first world we don't kiss arse-its your ability/intellect etc etc anything short of that-you are semi dead
 
Hivi kumbe U-secretary sio kazi ya maana? Duh......au mi ndo sielewi hapa?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
MIMI NI SECRETARY NILIKUWA NAMJIBU JAMAA ALOPONDA USECRETARY WANGU MKUU
 
Haogopi ndiyo , japokuwa anatukana mitandaoni ila ujumbe umefika , yupo tofauti sana na wewe , hapa penyewe tunatumia majina fake ,.Yule mwanamke ni something else.kutokana kwa jina lako la ukweli napo ni kipaji .
Hata kama anatumia jina lake, hiyo haiondoi ukweli kuwa anatukana akiwa kwenye comfort ya nyumbani kwake.

Ningemwona ni jasiri kwelikweli endapo angekuwa anawatukana ana kwa ana hao anaowatukanaga.

Nyuma ya keyboard yeyote yule anaweza kuwa jasiri feki.
 

Mkuu hujanishawishi eti mtu ana kitu kama 1.4 au div 1 yoyote aache BSc IN Computer Science pale FIVE au kozi yeyote ya mfumo rasmi eti aje achague AVU ya course content?

Hebu toa Course Content za BSc in Comp Engineering ya AVU na Coet tuone ipi imeshiba...hamna section iliyochoka kama AVU...toa content za both sides japo kwa 1st Year tu.

Hivi vi-program kama AVU maprof wanaanzisha kama chanzo cha kupiga hela,hakuna kingine...

AVU walikua wanaenda Form Four mkuu,watu wanajishughulisha na Certificate na Diploma unaweka sawa na mfumo rasmi?Aisee tusitaniane kabisa.
 
Halafu bora matusi basi huwa anakwenda mbali zaidi ya hapo ,anatafuta details zako zote unashangaa anaweka picha ya marehemu dada ya mwaka 90
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yu made my day nlikua cjacheka hv leo daaa.hatar sana
 
Hata wewe kazi ya kujamba unaiweza mkuu[emoji23] [emoji23]
Nasikia una ID 50 kidogo....Eti ukiingia Forbes NN net worth wanasema 50+JF IDsπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™....Sasa inakuwaje watu wengi wanaku-suspect kwamba una ID nyingi tatizo ni nini?
 


Hapana mkuu sifa yake ya ujasiri apewe tu usimwonee wivu, kama sio Mange basi tutajie ni nani unayemwona jasiri anayeweza kuwatukana viongozi wote bila kuogopa? kwamba watu hawafahamu Mange anaishi sehemu gani marekani? Viongozi wangapi wanaenda marekani kila siku na wanashindwa kumfanyia umafia huko alipo?

Hawa wadada wanaomponda humu kina miss nafuta watakuwa ndo kina kichwa panzi, recho danga, milly a.k.a mwamvua, recho temu au mtoto wa rita ....kumtukana kule kawashinda sasa hasira zao wanamalizia hapa

Kwataarifa yenu mange huwepa taarifa , hata hapa mamoderata wanawez mpa mpa vilevile sasa akikushukia atawachamba hadi waliomakaburini,kwenu hata kuku hataachwa...

Mange anaongoza , Lema anafuata
 
Nasikia una ID 50 kidogo....Eti ukiingia Forbes NN net worth wanasema 50+JF IDsπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™....Sasa inakuwaje watu wengi wanaku-suspect kwamba una ID nyingi tatizo ni nini?
Hata CHARMILTON ni ID yangu...
 
Duh!

Sasa nimwonee wivu wa nini? Matusi anayoyaporomoshaga?

Come on now.

Yeyote anayetukana mitandaoni ni fisi tu, point blank period.
 
Mange yupo na ID nyingi tu humu, zinaibukaga ikibidi ajiteteee.

Zingine amezitema sababu ya kujulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…