Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Kilikua kinaitwa AVU, ni kama affiliation Fulani hiviAlisoma visual nini sijui , hicho kitengo kilikua chini ya computer science ,ila aliishi mabibo alikuwa na kigari hivi , ila alikuwa Matawi ya juu , ukilinganisha na sisi kina kaluma nzila . Hakugombania shuttle kama wengine kina kayumba walioiishi mabibo
Hivi bado hawajasema kuwa na wewe ndo mimi?ACHANA NAE MKUU KUNA WATU WAJINGA HUMU JF SIJAWAI ONA
Hiyo AVU imekaa kama VVU..Kilikua kinaitwa AVU, ni kama affiliation Fulani hivi
We binti POVU lote hilo ni kwa ajili ya nani?....Mimi nimeuliza kwa utaratibu wala sipo serious kiasi cha kukutapisha mapovu......Hivi kumbe kuna watu mnachukulia mizaha ya JF kama uhalisia?ACHANA NAE MKUU KUNA WATU WAJINGA HUMU JF SIJAWAI ONA
Sawa mkuu.. nimekusoma.Sema ningeshuka level yako ya lugha ungenielewa- Wana Shakespeare wote wamenielewa
ukichaa kutumia fake id wakati real name unayoPia yaweza kuwa ni ukichaa...
ukichaa kutumia fake id wakati real name unayo
lakini yupo mbali.kitendo cha kutumia real name tu ni ushujaa tosha
wangapi wapo mbali ila wameshindwa?lakini yupo mbali.
Sawa mkuu.wangapi wapo mbali ila wameshindwa?
Hapana, ukichaa ni kufanya matendo ya ukichaa.ukichaa kutumia fake id wakati real name unayo
na wewe piaWewe ni kichaa?
Oyaa Nyani Ngabu acha kumzingua huyo mchuchu bana...View attachment 435188 We binti POVU lote hilo ni kwa ajili ya nani?....Mimi nimeuliza kwa utaratibu wala sipo serious kiasi cha kukutapisha mapovu......Hivi kumbe kuna watu mnachukulia mizaha ya JF kama uhalisia?
Aisee mbn mjinga ww? Ss yy nani kwni? Halafu nikwmbie ki2 kimoja ujue!! Usione anavyoropoka ukazani anaogopewa!! Hajaamuliwa tuu, usione watu wmekaa kimya yy ni mtu mdogo sna tena sna!! Serikali ikimuamulia ni siku kadhaa tuu mbn, just imagine serikali ina jeshi, kodi na mahakama, yy jee? [emoji45] [emoji45] [emoji45]Umejiandaa lakini?! uko tayari kupokea matusi yake? maana nikisoma vitu vyake huwa naona amewatukana watu matusi ambayo yako uchi kabisa hayana hata skin tight
ASEME ALIPEWA MKOPO KUSOMA CHUO GANI
Sio yeye,huyo Lara wengi wanamjua humu,Hivi kumbe Mange Kimambi ndo lala1?.......duh!!
Nenda kaulize vizuri hiyo programme ilikuja kwa majaribio na ikasitishwa. Ilikuwa chini ya Department of Comp Science kupitia AVU-African Virtual University na chuo flani kama sio wamarekani ni wadenish. Jaribu kumtafuta mwalimu Abdil au Babu Dr. Koda watakupa info usiwe mbishi. Sasa nenda pale kitengo cha ARIS kawaulize kuna mtu alisoma hii programme. Wabongo kwa kudhania wanajua kila kitu wakati walikuwa hawana taarifa sahihi. Lack of knowledge of existence of something does not mean it doesn't exist or it never existed at all.Mkuu hujanishawishi eti mtu ana kitu kama 1.4 au div 1 yoyote aache BSc IN Computer Science pale FIVE au kozi yeyote ya mfumo rasmi eti aje achague AVU ya course content?
Hebu toa Course Content za BSc in Comp Engineering ya AVU na Coet tuone ipi imeshiba...hamna section iliyochoka kama AVU...toa content za both sides japo kwa 1st Year tu.
Hivi vi-program kama AVU maprof wanaanzisha kama chanzo cha kupiga hela,hakuna kingine...
AVU walikua wanaenda Form Four mkuu,watu wanajishughulisha na Certificate na Diploma unaweka sawa na mfumo rasmi?Aisee tusitaniane kabisa.
Okay nilihisi ndo yeye kwe ile thread ya kumuelezea Mange Kimambi[emoji1]Sio yeye,huyo Lara wengi wanamjua humu,