Mange Kimambi yumo humu JF....

Mange Kimambi yumo humu JF....

Alisoma visual nini sijui , hicho kitengo kilikua chini ya computer science ,ila aliishi mabibo alikuwa na kigari hivi , ila alikuwa Matawi ya juu , ukilinganisha na sisi kina kaluma nzila . Hakugombania shuttle kama wengine kina kayumba walioiishi mabibo
Kilikua kinaitwa AVU, ni kama affiliation Fulani hivi
 
ACHANA NAE MKUU KUNA WATU WAJINGA HUMU JF SIJAWAI ONA
Hivi bado hawajasema kuwa na wewe ndo mimi?

Manake sasa nasingiziwa kila aina ya ID[emoji23] [emoji23].

Natabiri hii siku haitaisha kabla ya mtu kudai Miss Natafuta ndo Nyani Ngabu [emoji23].

Majinga sana haya mamtu.
 
Povu1.jpg
ACHANA NAE MKUU KUNA WATU WAJINGA HUMU JF SIJAWAI ONA
We binti POVU lote hilo ni kwa ajili ya nani?....Mimi nimeuliza kwa utaratibu wala sipo serious kiasi cha kukutapisha mapovu......Hivi kumbe kuna watu mnachukulia mizaha ya JF kama uhalisia?
 
Umejiandaa lakini?! uko tayari kupokea matusi yake? maana nikisoma vitu vyake huwa naona amewatukana watu matusi ambayo yako uchi kabisa hayana hata skin tight
Aisee mbn mjinga ww? Ss yy nani kwni? Halafu nikwmbie ki2 kimoja ujue!! Usione anavyoropoka ukazani anaogopewa!! Hajaamuliwa tuu, usione watu wmekaa kimya yy ni mtu mdogo sna tena sna!! Serikali ikimuamulia ni siku kadhaa tuu mbn, just imagine serikali ina jeshi, kodi na mahakama, yy jee? [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Mkuu hujanishawishi eti mtu ana kitu kama 1.4 au div 1 yoyote aache BSc IN Computer Science pale FIVE au kozi yeyote ya mfumo rasmi eti aje achague AVU ya course content?

Hebu toa Course Content za BSc in Comp Engineering ya AVU na Coet tuone ipi imeshiba...hamna section iliyochoka kama AVU...toa content za both sides japo kwa 1st Year tu.

Hivi vi-program kama AVU maprof wanaanzisha kama chanzo cha kupiga hela,hakuna kingine...

AVU walikua wanaenda Form Four mkuu,watu wanajishughulisha na Certificate na Diploma unaweka sawa na mfumo rasmi?Aisee tusitaniane kabisa.
Nenda kaulize vizuri hiyo programme ilikuja kwa majaribio na ikasitishwa. Ilikuwa chini ya Department of Comp Science kupitia AVU-African Virtual University na chuo flani kama sio wamarekani ni wadenish. Jaribu kumtafuta mwalimu Abdil au Babu Dr. Koda watakupa info usiwe mbishi. Sasa nenda pale kitengo cha ARIS kawaulize kuna mtu alisoma hii programme. Wabongo kwa kudhania wanajua kila kitu wakati walikuwa hawana taarifa sahihi. Lack of knowledge of existence of something does not mean it doesn't exist or it never existed at all.
 
Back
Top Bottom