kalukamise
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 683
- 191
Company secretary, Secretary General. It makes a differencyHivi kumbe U-secretary sio kazi ya maana? Duh......au mi ndo sielewi hapa?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
mbona unamuita mtu mjinga kwasababu ana wazo tofauti na wewe?Hilo wazo lako alishalitoa mtu anaitwa Rashid chilumba kwa real name.....baada ya mda mfupi alimshughulikia jamaa mpaka akaitelekeza account yake mpaka leoAisee mbn mjinga ww? Ss yy nani kwni? Halafu nikwmbie ki2 kimoja ujue!! Usione anavyoropoka ukazani anaogopewa!! Hajaamuliwa tuu, usione watu wmekaa kimya yy ni mtu mdogo sna tena sna!! Serikali ikimuamulia ni siku kadhaa tuu mbn, just imagine serikali ina jeshi, kodi na mahakama, yy jee?
Umekuwa muungwana ku. acknowledgeYupo ila naona anaingia mara chache,ndiye alinifanya niijue jf 2007,
nilikuwa nagoogle kitu fulani ikatokea search mange vs ted kalenga,mjadala mkali kwelikweli,
ndo nikaifahamu jf,toka sikuhiyo sijacha kuingia jf mpaka leo
Kawazoea hao wa inst...huku hatuwezi kama vipi muite ajeHapana mkuu sifa yake ya ujasiri apewe tu usimwonee wivu, kama sio Mange basi tutajie ni nani unayemwona jasiri anayeweza kuwatukana viongozi wote bila kuogopa? kwamba watu hawafahamu Mange anaishi sehemu gani marekani? Viongozi wangapi wanaenda marekani kila siku na wanashindwa kumfanyia umafia huko alipo?
Hawa wadada wanaomponda humu kina miss nafuta watakuwa ndo kina kichwa panzi, recho danga, milly a.k.a mwamvua, recho temu au mtoto wa rita ....kumtukana kule kawashinda sasa hasira zao wanamalizia hapa
Kwataarifa yenu mange huwepa taarifa , hata hapa mamoderata wanawez mpa mpa vilevile sasa akikushukia atawachamba hadi waliomakaburini,kwenu hata kuku hataachwa...
Mange anaongoza , Lema anafuata
Hiyo itakuwa Tabloid press-in reality hao Royal family owe their existence to the United States- in this complex world we live in one has to have the ability to read news inside the news-otherwise utaachwa njia pandamaybe,but if obama himself can kiss some arse,you could be very exceptional if you dont madame jack.
.
After All The Butt Kissing, Saudis Still Reject Obama - Truth And Action
Japo hainuhusu moja kwa moja ila indirectly inanihusu! Baba yangu kwa uwezo wake (siyo uzembe) alinisimama nafasi yake kama baba na akanipeleka st kayumba. Now I am proud to say bravo to my baba kiazi for without him I wouldn't be where I am today!unafurahia uzembe wa baba ako kukupeleka st.kayumba?...baba ake mange alisimamia nafasi yake kama baba kuhakikisha wanae wanasoma shule nzuri na wanatambua mambo yanavyoenda...we una kazi yakuponda tu...ndo mana st.kayumba zako zimekufanya uwe mjinga usijue mambo ya nchi yako yanavyoenda....bora huyo mange anaeongeaga point kuiokoa nchi
Umejuaje ana IDs nyingi humu?
Keshawahi kukuambia au unahisi tu kuwa ana IDs nyingi humu?
Huh...?Mmmh hiyo ya kuniambia sina la kujibu, bali nimeelezea tu niliyoandika juu na sina la kubadili.
sijui umefuatilia mjadala ndo ukaandika huo utumbo wako!....yan wanawake aiseeJapo hainuhusu moja kwa moja ila indirectly inanihusu! Baba yangu kwa uwezo wake (siyo uzembe) alinisimama nafasi yake kama baba na akanipeleka st kayumba. Now I am proud to say bravo to my baba kiazi for without him I wouldn't be where I am today!
Poin is, siyo kila aliyesoma st kayumba hana mafanikio
We ndiye wakili wake?Oyaa Nyani Ngabu acha kumzingua huyo mchuchu bana...
Ngosha kwani unampango wa u secretary?Hivi kumbe U-secretary sio kazi ya maana? Duh......au mi ndo sielewi hapa?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hivi utumbo ndo uko hivyo ee, ni utumbo wa nini huo!sijui umefuatilia mjadala ndo ukaandika huo utumbo wako!....yan wanawake aisee
Haaaah[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] umeanza lini haya mambo?Ngosha kwani unampango wa u secretary?
Huh...?
unawivu sana wewe mwenzako anakula kula kuku USA wewe unakula vumbi singinda huwezi hona big gap between.mange hana mkopo yule aliishia la saba elimu yake kaunga unga sana ana certificate ya uarabuni ya sayansi kimu
MAJINGA SANA HATA MIMI HUWA YANADAI ETI MI MWANAUME .MARA NINA ID KIBAO YAANI HUWA SIWAELEWIHivi bado hawajasema kuwa na wewe ndo mimi?
Manake sasa nasingiziwa kila aina ya ID[emoji23] [emoji23].
Natabiri hii siku haitaisha kabla ya mtu kudai Miss Natafuta ndo Nyani Ngabu [emoji23].
Majinga sana haya mamtu.
I love her guts too ,as senseless as she is sometimes I just admire her !All in all namsifu Mange , she has that character ambayo wengi hatuna , she has guts , haogopi chochote , kwa hilo nasema chapeau to her.
Kusema ukweli hakuhitaji elimu!isitoshe maprofesa wetu ndio wanaoongoza kwa uongo na kupindishapindisha mambo!Victoria umepatia...kulikua kuna kakitengo fulani hivi pale Faculty of Science kanahusu kitu kinaitwa "Virtual Learning" na mkuu wake alikua professor mmoja hivi wa Engineering alikua anaitwa Prof BMM Mwinyiwiwa...
Hicho kiprogram kilikua hakichukui waliofaulu form six,walikua wanachukua waliofeli na vi form four failure ni kama Mature Entry hivi na sidhani kama kulikua na kitu "degree" kwenye hiyo kitu...
Yaani huyu dada ni kilaaaza halafu mbwembweee,I really doubt ukweli wa anayosema[emoji23]
Mambo gani tena[emoji15]Haaaah[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] umeanza lini haya mambo?