Hapana mkuu sifa yake ya ujasiri apewe tu usimwonee wivu, kama sio Mange basi tutajie ni nani unayemwona jasiri anayeweza kuwatukana viongozi wote bila kuogopa? kwamba watu hawafahamu Mange anaishi sehemu gani marekani? Viongozi wangapi wanaenda marekani kila siku na wanashindwa kumfanyia umafia huko alipo?
Hawa wadada wanaomponda humu kina miss nafuta watakuwa ndo kina kichwa panzi, recho danga, milly a.k.a mwamvua, recho temu au mtoto wa rita ....kumtukana kule kawashinda sasa hasira zao wanamalizia hapa
Kwataarifa yenu mange huwepa taarifa , hata hapa mamoderata wanawez mpa mpa vilevile sasa akikushukia atawachamba hadi waliomakaburini,kwenu hata kuku hataachwa...
Mange anaongoza , Lema anafuata