Mange Kimambi yumo humu JF....

Mange Kimambi yumo humu JF....

Hivi kumbe U-secretary sio kazi ya maana? Duh......au mi ndo sielewi hapa?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Company secretary, Secretary General. It makes a differency
 
Aisee mbn mjinga ww? Ss yy nani kwni? Halafu nikwmbie ki2 kimoja ujue!! Usione anavyoropoka ukazani anaogopewa!! Hajaamuliwa tuu, usione watu wmekaa kimya yy ni mtu mdogo sna tena sna!! Serikali ikimuamulia ni siku kadhaa tuu mbn, just imagine serikali ina jeshi, kodi na mahakama, yy jee?
emoji45.png
emoji45.png
emoji45.png
mbona unamuita mtu mjinga kwasababu ana wazo tofauti na wewe?Hilo wazo lako alishalitoa mtu anaitwa Rashid chilumba kwa real name.....baada ya mda mfupi alimshughulikia jamaa mpaka akaitelekeza account yake mpaka leo
Sasa wewe unayesema ye ni nani jaribu kupambana nae
 
Yupo ila naona anaingia mara chache,ndiye alinifanya niijue jf 2007,
nilikuwa nagoogle kitu fulani ikatokea search mange vs ted kalenga,mjadala mkali kwelikweli,
ndo nikaifahamu jf,toka sikuhiyo sijacha kuingia jf mpaka leo
Umekuwa muungwana ku. acknowledge
 
Hapana mkuu sifa yake ya ujasiri apewe tu usimwonee wivu, kama sio Mange basi tutajie ni nani unayemwona jasiri anayeweza kuwatukana viongozi wote bila kuogopa? kwamba watu hawafahamu Mange anaishi sehemu gani marekani? Viongozi wangapi wanaenda marekani kila siku na wanashindwa kumfanyia umafia huko alipo?

Hawa wadada wanaomponda humu kina miss nafuta watakuwa ndo kina kichwa panzi, recho danga, milly a.k.a mwamvua, recho temu au mtoto wa rita ....kumtukana kule kawashinda sasa hasira zao wanamalizia hapa

Kwataarifa yenu mange huwepa taarifa , hata hapa mamoderata wanawez mpa mpa vilevile sasa akikushukia atawachamba hadi waliomakaburini,kwenu hata kuku hataachwa...

Mange anaongoza , Lema anafuata
Kawazoea hao wa inst...huku hatuwezi kama vipi muite aje
 
unafurahia uzembe wa baba ako kukupeleka st.kayumba?...baba ake mange alisimamia nafasi yake kama baba kuhakikisha wanae wanasoma shule nzuri na wanatambua mambo yanavyoenda...we una kazi yakuponda tu...ndo mana st.kayumba zako zimekufanya uwe mjinga usijue mambo ya nchi yako yanavyoenda....bora huyo mange anaeongeaga point kuiokoa nchi
Japo hainuhusu moja kwa moja ila indirectly inanihusu! Baba yangu kwa uwezo wake (siyo uzembe) alinisimama nafasi yake kama baba na akanipeleka st kayumba. Now I am proud to say bravo to my baba kiazi for without him I wouldn't be where I am today!
Poin is, siyo kila aliyesoma st kayumba hana mafanikio
 
Japo hainuhusu moja kwa moja ila indirectly inanihusu! Baba yangu kwa uwezo wake (siyo uzembe) alinisimama nafasi yake kama baba na akanipeleka st kayumba. Now I am proud to say bravo to my baba kiazi for without him I wouldn't be where I am today!
Poin is, siyo kila aliyesoma st kayumba hana mafanikio
sijui umefuatilia mjadala ndo ukaandika huo utumbo wako!....yan wanawake aisee
 
Hivi kumbe U-secretary sio kazi ya maana? Duh......au mi ndo sielewi hapa?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ngosha kwani unampango wa u secretary?
 
sijui umefuatilia mjadala ndo ukaandika huo utumbo wako!....yan wanawake aisee
Hivi utumbo ndo uko hivyo ee, ni utumbo wa nini huo!
You'd think you as a man wouldn't be writing stupidity.
Anyway mpaka nimekujibu mjadala nimeusoma na nimeuelewa, na kifupi nimekujibu wewe directly sijaingia kwenye mjadala.
 
Hivi wanafahamu kuwa kuna Title Deed babake alizitelekeza kwenye makampuni ya Bima kama bond za Ujenzi, maana sijui hata kama wanafahamu Masikini au walishazifuatilia... Kuna siku nilisikia kesi ile ya AM nakajua ile familia hawaelewi mali zao zote za Dingi yao... Watakuwa wamedhulimiwa sana
 
Hivi bado hawajasema kuwa na wewe ndo mimi?

Manake sasa nasingiziwa kila aina ya ID[emoji23] [emoji23].

Natabiri hii siku haitaisha kabla ya mtu kudai Miss Natafuta ndo Nyani Ngabu [emoji23].

Majinga sana haya mamtu.
MAJINGA SANA HATA MIMI HUWA YANADAI ETI MI MWANAUME .MARA NINA ID KIBAO YAANI HUWA SIWAELEWI
HATA KAMA NINGEKUWA WA KIUME NAWAHUSU NINI? YAANI MTU ANAWASHWA TU KUMUATTACK MTU PERSONALLY HUMU YANANIKERA SANA HAYA MADOGO KIBOKO YAO NDALICHAKO *****
 
Victoria umepatia...kulikua kuna kakitengo fulani hivi pale Faculty of Science kanahusu kitu kinaitwa "Virtual Learning" na mkuu wake alikua professor mmoja hivi wa Engineering alikua anaitwa Prof BMM Mwinyiwiwa...

Hicho kiprogram kilikua hakichukui waliofaulu form six,walikua wanachukua waliofeli na vi form four failure ni kama Mature Entry hivi na sidhani kama kulikua na kitu "degree" kwenye hiyo kitu...

Yaani huyu dada ni kilaaaza halafu mbwembweee,I really doubt ukweli wa anayosema[emoji23]
Kusema ukweli hakuhitaji elimu!isitoshe maprofesa wetu ndio wanaoongoza kwa uongo na kupindishapindisha mambo!
 
Back
Top Bottom