Mange Kimambi yumo humu JF....

Mange Kimambi yumo humu JF....

MAJINGA SANA HATA MIMI HUWA YANADAI ETI MI MWANAUME .MARA NINA ID KIBAO YAANI HUWA SIWAELEWI
HATA KAMA NINGEKUWA WA KIUME NAWAHUSU NINI? YAANI MTU ANAWASHWA TU KUMUATTACK MTU PERSONALLY HUMU YANANIKERA SANA HAYA MADOGO KIBOKO YAO NDALICHAKO *****

Piga picha watumie
 
Mange anakidudumizi acha....alafu naskia waliosoma nae wanasema dahhhhh ni mbururah balaaa..hamna kitu ni wakubust
 
baba yao aliwapeleka watoto wake shule nzuri miaka hiyo ila hakuna walichokipata bora sisi tuliosoma st kayumba mafanikio tumeyaona ila mange kuhusu shule anyamaze tu ndo laana inamsumbua kuchezea nafasi ya elimu bora
Wee nawe acha uzomozomo mara kaishia la saba ,mara babaake kawapeleka shule nzuri....eleweka basi khaaaa
 
Serikali ikiamualia ikimualia , endelea kuota , anazaidi ya miaka 5 anatukana watu tu na mkuu wetu wasasa asivyopenda kujaribiwa unadhani angevumilia udhalilishaji anaoufanya Mange kule insta?
Mkuu inataka kusema anaogopwa na hadi na bwana juma p??????
 
Aisee mbn mjinga ww? Ss yy nani kwni? Halafu nikwmbie ki2 kimoja ujue!! Usione anavyoropoka ukazani anaogopewa!! Hajaamuliwa tuu, usione watu wmekaa kimya yy ni mtu mdogo sna tena sna!! Serikali ikimuamulia ni siku kadhaa tuu mbn, just imagine serikali ina jeshi, kodi na mahakama, yy jee? [emoji45] [emoji45] [emoji45]

Kwanini umenitukana (bold)?
 
Kuna watu wajipendekeza kwa Mage yeye akilianzisha mnaanza kulia lia!! Mage ni Satan-2 likifumuliwa hamna wa kulizuia hadi una murder!!


 
Naona JF great thinkers tupo tunajadili low thinkers Malaya wa Ulaya.
 
Bro ilikuwa inatoa degree hata mtoto(suzan john) wa magufuli kasoma hapo na alikuwa anaongoza hicho kitengo

Mkuu AVU ni ya wachovu,no matter how you convince people here,its not gonna work..

AVU?Jezzuz Christ...
 
Post zake ni nyeti kama nyeti zako.....zinasaidia sirikali kupembua na kufukunyua mavituz
Hawaoni mpaka serikali huwa inamjibu kwa press release , juzi kaongelea michango ya Kagera , tumeona ofisi ya waziri Mkuu imetoa ufafanuzi , Mange ni muhimu sana kuliko sisi tunaojificha nyuma ya fake names .
 
Back
Top Bottom