kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
na pengine anaweka post za kujiponda yeye mwenyewe ili kunogesha mjadala.Hahahaaa fun enough mnamsubiria ajibu wakati mpo nae humu ktk mjadala [emoji36][emoji36]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na pengine anaweka post za kujiponda yeye mwenyewe ili kunogesha mjadala.Hahahaaa fun enough mnamsubiria ajibu wakati mpo nae humu ktk mjadala [emoji36][emoji36]
MAJINGA SANA HATA MIMI HUWA YANADAI ETI MI MWANAUME .MARA NINA ID KIBAO YAANI HUWA SIWAELEWI
HATA KAMA NINGEKUWA WA KIUME NAWAHUSU NINI? YAANI MTU ANAWASHWA TU KUMUATTACK MTU PERSONALLY HUMU YANANIKERA SANA HAYA MADOGO KIBOKO YAO NDALICHAKO *****
Post zake ni nyeti kama nyeti zako.....zinasaidia sirikali kupembua na kufukunyua mavituzHivi kwanini hachukuliwi hatua???
Au wanampuuza tu na maujinga yake...
Au kuna kifungu cha sheria kinachomlinda?
Anaejua plz[emoji19]
Wee nawe acha uzomozomo mara kaishia la saba ,mara babaake kawapeleka shule nzuri....eleweka basi khaaaababa yao aliwapeleka watoto wake shule nzuri miaka hiyo ila hakuna walichokipata bora sisi tuliosoma st kayumba mafanikio tumeyaona ila mange kuhusu shule anyamaze tu ndo laana inamsumbua kuchezea nafasi ya elimu bora
Mkuu inataka kusema anaogopwa na hadi na bwana juma p??????Serikali ikiamualia ikimualia , endelea kuota , anazaidi ya miaka 5 anatukana watu tu na mkuu wetu wasasa asivyopenda kujaribiwa unadhani angevumilia udhalilishaji anaoufanya Mange kule insta?
Aisee mbn mjinga ww? Ss yy nani kwni? Halafu nikwmbie ki2 kimoja ujue!! Usione anavyoropoka ukazani anaogopewa!! Hajaamuliwa tuu, usione watu wmekaa kimya yy ni mtu mdogo sna tena sna!! Serikali ikimuamulia ni siku kadhaa tuu mbn, just imagine serikali ina jeshi, kodi na mahakama, yy jee? [emoji45] [emoji45] [emoji45]
No respect if u don't respect MANGE KIMAMBI its better you shut up.{SWISME SWISSME}TUHESHIMIANE MKUU !
Jamaa kakupa za uso.CHARMILTON ni Nyani Ngabu [emoji23] [emoji23]
hii lugha ni ya wapi? mbona sijaielewa...Utafikiri kakopa vile.
Ni lini alisoma chuo kikuu? Mangi kwa kujipenyeza-penyeza kama ushuzi wa ngomani.
hii lugha ni ya wapi? mbona sijaielewa...
AiseeeAsiyeelewa maana haambiwi maana.
Bro ilikuwa inatoa degree hata mtoto(suzan john) wa magufuli kasoma hapo na alikuwa anaongoza hicho kitengo
Uwii hivi huyu mtu tunakaa nae kwenye ulimwengu huu auHiki ni kimachame cha kule ndani kabisa.
Cjaambulia kindo.
Hawaoni mpaka serikali huwa inamjibu kwa press release , juzi kaongelea michango ya Kagera , tumeona ofisi ya waziri Mkuu imetoa ufafanuzi , Mange ni muhimu sana kuliko sisi tunaojificha nyuma ya fake names .Post zake ni nyeti kama nyeti zako.....zinasaidia sirikali kupembua na kufukunyua mavituz
Alisaidia kumdondosha mamvi , na sasa anainyima usingizi sirikaliNaona JF great thinkers tupo tunajadili low thinkers Malaya wa Ulaya.
Mtake mzee wetu radhi.. Mange amuangushe EL?Alisaidia kumdondosha mamvi , na sasa anainyima usingizi sirikali