Alidhani dai hapindui kwake. .... Ila kilichomkuta hata madale hawezi kwenda hahahahahaAnge invest kimya kimya na sio kuchamba watu. Mbona angefika mbali tuu yy akaanza kuleta nyodo ninyodoe
Nawakumbusha tu amebakiza siku 25 tu - Sheikh Mkuu wa Dar AlhadHuyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Haya Numbu la Zari
Wewe ndio dishi limeyumba yani huwezi kujua hata MTU akiwa anafanya utani. Mange akiwa anasema anamtaka Mond huwa anatania..Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Utani unakuwaga Mara moja ila ukiona mtu anarudia rudia ujue anafikisha ujumbeWewe ndio dishi limeyumba yani huwezi kujua hata MTU akiwa anafanya utani. Mange akiwa anasema anamtaka Mond huwa anatania..
Unaliamini hii? Kama kapokea mbona harudi kwa mama ake?toka aongwe dola 300,000 na jiwe amepoteza mvuto
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] daah comments yako inafurahishaEti ndio huyu angenishawishi niandamane hahah,thubutuuuuu
100% ukweli mtupu.Supporters wa Mange Kimambi wote ni hayawani na wendawazimu wote.
Ni mpuuzi tu anayeweza kumshabikia Mange Kimambi
Hao ni watafiti wa zao la kahawa kutoka kituo cha research cha Hungumalwa.Hivi hao sijui kina Zari na Mange mnaowaongelea hapa ndio kina nani hao? au mimi naishi dunia nyingine?!!
Teh teh mkuu huyo demu mimi namuonaga kama chizi since day 1.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] daah comments yako inafurahisha
Teh kabisa mkuu.[emoji3][emoji3][emoji3]kweli kabisa na wana vyeti vizuri M& E
Wanwake tunajidharaulisha sana,kwa hiyo sisi ndo wambeya sana,,wanaume siku hizi ndo wambeya sasaUmbea achia kina mama wewe wa wapi ww?? Ukweli upi sasa kuna anaejua ukweli zaidi ya alieutoa mdomoni mwake?? Nyie wengine ni kuongeza au kupunguza chumvi.
Utashawishiwa kuandamana na MATATIZO yako wala siyo MANGE KIMAMBI, ni suala la muda tu.Eti ndio huyu angenishawishi niandamane hahah,thubutuuuuu