Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

Hivi huwa anajihusisha na mambo gani hasa ya maana yanayofanya mumfuatilie huyu Kimambe sijui!?
 
Labda ile kauli ya yule shekhe wa daslam inaanza kutimia
 
Acha sasa washikane vzr wote si wametukanana,wavuane nguo wachambaneee. Wanapokosea ni hapo kwa watoto.
 
Alianza nani kwani? Hapo mimi pia sijapenda kabisa. Japo na wake walitukanwa. By the way ni ujinga wa hali ya juu kutukana watt wdg kama wale malaika
Alianza Nani wewe kweli mgeni na Mange, Mange alianza kumtukana tiffah tangu yupo uturn akawa anasema mtoto wa katunzi kipindi hiko dam dam na Wema sepetu , akaja kuamia kwa Nilan , Zari hakuwahi kumjibu kuhusu watoto , juzi kaongea Mange anataka kuplay victim na wafuasi wake mazwazwa mnaamini Zari ndo kamuanza
 
Hata yeye kasema watu watafikiri ni kweli anamtaka Mondi, lakini nyuma ya hayo yote anataka kufikisha ujumbe!
 
Mwenzenu matusi na kashifa ndio mtaji wake. Watu wamekuwa wakiogopa kukashifiwa na kutukanwa na humlipa uli kumfunga mdomo. Anachotaka hapo ni Diamond naye aanze kumlipa.
 
Hatutaki jumbe zake sku hiz tena kwa modi penyewe ataachika huko utumwani awe makini ile ni sukali ya watoto
 
Matahira kama mange kimavi
Huwa baada ya muda nafanya ku unfollow tu sipend upuuzi wakupitiliza.
 
Achen kusema
match yao ya
Mange vs JPM mnanikwaza.
Maana tunaisoma namba wengi sana.
 
Hebu nitokee hapo mimi sio mfuasi wa binadamu labda wewe ni mfuasi zwazwa wa Zari basi. Mimi sikuona hayo mambo utajuaje kama simu iliiibiwa ndo maana nimeona msg zari juzi nikajua kisa kimeanzia hapo. Kumbe na ww mwanaume unafuatilia udaku kwa wamama hivyo lol
 
Reactions: Pep
Tell her. Misukule ya mange bana kama imelishwa unga wa ndele vile
 
Umekosa hoja baada ya kuambiwa ukweli Nani alianza. Eti wacha watukanane
Umbea achia kina mama wewe wa wapi ww?? Ukweli upi sasa kuna anaejua ukweli zaidi ya alieutoa mdomoni mwake?? Nyie wengine ni kuongeza au kupunguza chumvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…