Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Wacha wote waone uchungu kutukaniwa Watoto. Hakuna mtoto aliye bora kuliko mwingine. Kama Zari aliwahi kutukaniwa Tiffa na Uchungu haupoi. Na akaamua kulianzisha tena yeye mwenyewe Zari Baada ya Mange kuwa kimya. Nadhani awe mpole tu. Yeye na fans wake. Kila mtu sdawa imuingie taratibu.
Makiseo kama ulivyosema ulimfahamu mange tangu u turn nadhan uliona mchokozi ni nani,uchungu haupoi,zari kadhalilishwa sana na mange plus fekero lake la original. Yes hilo ni fekero la mange kila kukicha matakoni mwa zari.
so mamie watoto wa mange ndio binadamu ila wa wengine sio ee????