Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

Huyu US MSINGI K anawawekaga watu busy kwa mambo yake ya kipuuzi , pamoja na US kuwa na fursa nyingi za ajira lakini hana hata kibarua.

Yeye kazi yake kununua bando na kujifungia ndani na kuanza kuwatukana watu, alafu Kuna wapuuzi wanampa kichwa, eti dada wa taifa, wakati IQ hata kwenye kizibo cha soda haijai.

Instagram imezalisha wapuuzi wengi sana na kuna baadhi ya watu wanawafanya ndio marole model wao.
 
Usipanick braza Mange anatupa info tusizozijua na am sure page yake tunaitembelea wengi tuu hapa hata kama unakataa. Na mwenye akili zake atachuja yapi ya kuyaaminj na yapi asiamini. Ndo nyie mmewafollow ma gay na ni ma role model wenu
 
Katikwana na yeye anatukana achana na upenzi na mahaba kwa diamond
 
Baada ya kuona ameacha masiasa yenu ameacha kuwasemea ndo leo mnamuona wa ajaabu? Jamani binadamu bana wakati ule alikua ccm anamremba Jiwe wale wa upande ule walikua wanamfurahia wanalamba lamb wa upande huu wa pipoz mkawa mnamponda sana na kumuita mwehu.Alipohamia upande wa pili watu wa lumumba wakasema amenunuliwa huyo msimsikilize ni mwehu anatumiwa data n.k. Alipoamua kuwatosa wote leo wengine mnasema amelipwa. Mange ameamua kurudi kwenye mambo yake ya umbea ambao kwa wanaomjua ni hulka yake ila wengine ndo wanamuona kichaa. By the way ana mabaya yake vivyo hivyo na wewe na mimi. Sooo hakuna mtu mkamilifu chini ya jua. Kuna watu hawajitoi public kama yy ila ni malaya ,ni wezi wa waume za watu, wadangaji,wavaa uchi,watukanaji n.k
Kawa kichaa yule dada
 
Usipanick braza Mange anatupa info tusizozijua na am sure page yake tunaitembelea wengi tuu hapa hata kama unakataa. Na mwenye akili zake atachuja yapi ya kuyaaminj na yapi asiamini. Ndo nyie mmewafollow ma gay na ni ma role model wenu
Tuheshimiane dada yangu, nani anawa follow mashoga? Nipo JF sijawahi kumtukana mtu yoyote alafu ww mwanamke nakuheshimu. Wewe kama Mange unamuona wa muhimu ni ww wengine si tunamwona mshamba na mpuuzi, tuheshimiane kwani sijakuvunjia heshima.

Mara ya mwisho kuingia instagram 2015 baada yakuona wapuuzi kama hawa wakina Mange wamejaa, hata mimi kutukana najua, ila JF sio mahala pake au labda ww ndiye Mange mwenyewe?.
 
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Issue ya kumtaka Dai amesema kama utani. Hakuwa Serious. Unadhani kama alikuwa mmoja ya watu waliondaa ile event ya Dai iliyoitwa "Daimonds are Forever" angekuwa anamtaka kweli wangekuwa washamalizana kitambo. Maana Dai haachi kitu yule. Anakwambia kiingiacho siyo haramu bali kitokacho.
 
Enzi zile hakua Diamond huyu,unadhan sasa hivi Mange anaweza kuandaa show ya Domo
 
Baada ya kuona ameacha masiasa yenu ameacha kuwasemea ndo leo mnamuona wa ajaabu? Jamani binadamu bana wakati ule alikua ccm anamremba Jiwe wale wa upande ule walikua wanamfurahia wanalamba lamb wa upande huu wa pipoz mkawa mnamponda sana na kumuita mwehu.Alipohamia upande wa pili watu wa lumumba wakasema amenunuliwa huyo msimsikilize ni mwehu anatumiwa data n.k. Alipoamua kuwatosa wote leo wengine mnasema amelipwa. Mange ameamua kurudi kwenye mambo yake ya umbea ambao kwa wanaomjua ni hulka yake ila wengine ndo wanamuona kichaa. By the way ana mabaya yake vivyo hivyo na wewe na mimi. Sooo hakuna mtu mkamilifu chini ya jua. Kuna watu hawajitoi public kama yy ila ni malaya ,ni wezi wa waume za watu, wadangaji,wavaa uchi,watukanaji n.k
[emoji122][emoji122][emoji122]Good Analyis Dear..
Nadhani wengi wamemfahamia Mange Instagram. Wakati Mange Amenzia U Turn na Umbea wake. Nadhani tumuache kwa sasa aishi Maisha yake.
 
Alianza Nani? Wakati tiffah anazaliwa unajua mange alisema mtoto wa Nani? Au unajua mange kaanza kumtukana nillan tangu ajazaliwa, tangu enzi yupo na Wema sepetu damu damu mange anatukana watoto wa zari
Zari alilianzisha mwenyewe. Wacha wajibizane.
 
How?zari ndio aliyemtuma mange kumtukana tiffa kabla hajazaliwa?
Nazungumzia Saga la juzi hapa. Achana na hilo la wakati wa Tiffa. Kama walitukanana kipindi hicho yakaisha. Hiyo Chokochoko ya Zari aliyoanza nayo juzi kutukana watoto wa Mange ilitokana na nini?
 
Alianza Nani? Wakati tiffah anazaliwa unajua mange alisema mtoto wa Nani? Au unajua mange kaanza kumtukana nillan tangu ajazaliwa, tangu enzi yupo na Wema sepetu damu damu mange anatukana watoto wa zari
Nazungumzia Saga la juzi hapa. Achana na hilo la wakati wa Tiffa. Kama walitukanana kipindi hicho yakaisha. Hiyo Chokochoko ya Zari aliyoanza nayo juzi kutukana watoto wa Mange ilitokana na nini?
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Makiseo kama ulivyosema ulimfahamu mange tangu u turn nadhan uliona mchokozi ni nani,uchungu haupoi,zari kadhalilishwa sana na mange plus fekero lake la original. Yes hilo ni fekero la mange kila kukicha matakoni mwa zari.

so mamie watoto wa mange ndio binadamu ila wa wengine sio ee????

Back
Top Bottom