Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Msukule mwenzangu wewe unakulaga panya??Tell her. Misukule ya mange bana kama imelishwa unga wa ndele vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msukule mwenzangu wewe unakulaga panya??Tell her. Misukule ya mange bana kama imelishwa unga wa ndele vile
Msukule mwenzangu wewe unakulaga panya??
Usipanick braza Mange anatupa info tusizozijua na am sure page yake tunaitembelea wengi tuu hapa hata kama unakataa. Na mwenye akili zake atachuja yapi ya kuyaaminj na yapi asiamini. Ndo nyie mmewafollow ma gay na ni ma role model wenuHuyu US MSINGI K anawawekaga watu busy kwa mambo yake ya kipuuzi , pamoja na US kuwa na fursa nyingi za ajira lakini hana hata kibarua.
Yeye kazi yake kununua bando na kujifungia ndani na kuanza kuwatukana watu, alafu Kuna wapuuzi wanampa kichwa, eti dada wa taifa, wakati IQ hata kwenye kizibo cha soda haijai.
Instagram imezalisha wapuuzi wengi sana na kuna baadhi ya watu wanawafanya ndio marole model wao.
Wembe hauniumizi tafuta kingine nimezeImekupata ee. Ikikuumamezawembe
Kawa kichaa yule dadaBaada ya kuona ameacha masiasa yenu ameacha kuwasemea ndo leo mnamuona wa ajaabu? Jamani binadamu bana wakati ule alikua ccm anamremba Jiwe wale wa upande ule walikua wanamfurahia wanalamba lamb wa upande huu wa pipoz mkawa mnamponda sana na kumuita mwehu.Alipohamia upande wa pili watu wa lumumba wakasema amenunuliwa huyo msimsikilize ni mwehu anatumiwa data n.k. Alipoamua kuwatosa wote leo wengine mnasema amelipwa. Mange ameamua kurudi kwenye mambo yake ya umbea ambao kwa wanaomjua ni hulka yake ila wengine ndo wanamuona kichaa. By the way ana mabaya yake vivyo hivyo na wewe na mimi. Sooo hakuna mtu mkamilifu chini ya jua. Kuna watu hawajitoi public kama yy ila ni malaya ,ni wezi wa waume za watu, wadangaji,wavaa uchi,watukanaji n.k
Tuheshimiane dada yangu, nani anawa follow mashoga? Nipo JF sijawahi kumtukana mtu yoyote alafu ww mwanamke nakuheshimu. Wewe kama Mange unamuona wa muhimu ni ww wengine si tunamwona mshamba na mpuuzi, tuheshimiane kwani sijakuvunjia heshima.Usipanick braza Mange anatupa info tusizozijua na am sure page yake tunaitembelea wengi tuu hapa hata kama unakataa. Na mwenye akili zake atachuja yapi ya kuyaaminj na yapi asiamini. Ndo nyie mmewafollow ma gay na ni ma role model wenu
Issue ya kumtaka Dai amesema kama utani. Hakuwa Serious. Unadhani kama alikuwa mmoja ya watu waliondaa ile event ya Dai iliyoitwa "Daimonds are Forever" angekuwa anamtaka kweli wangekuwa washamalizana kitambo. Maana Dai haachi kitu yule. Anakwambia kiingiacho siyo haramu bali kitokacho.Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Zari alilianzisha mwenyewe. Wacha wajibizane.Sasahivi naona kakomaa kumtukana Zari kawa Kama kichaa mpaka anajirecodi videos. Mtu mzima huwazi kusa obsessed na maisha ya mtu vile
Du Mkuu huyo dada alishawahi kutoa tips za kudanga na site ya kupata mabuzi alitoa na akawa anawatoza hela kuwaunga washamba washambaTuthibitishie tuhuma za kujiuza ili habari yako iwe na credibility?
Enzi zile hakua Diamond huyu,unadhan sasa hivi Mange anaweza kuandaa show ya DomoIssue ya kumtaka Dai amesema kama utani. Hakuwa Serious. Unadhani kama alikuwa mmoja ya watu waliondaa ile event ya Dai iliyoitwa "Daimonds are Forever" angekuwa anamtaka kweli wangekuwa washamalizana kitambo. Maana Dai haachi kitu yule. Anakwambia kiingiacho siyo haramu bali kitokacho.
Zari alilianzisha mwenyewe. Wacha wajibizane.
[emoji122][emoji122][emoji122]Good Analyis Dear..Baada ya kuona ameacha masiasa yenu ameacha kuwasemea ndo leo mnamuona wa ajaabu? Jamani binadamu bana wakati ule alikua ccm anamremba Jiwe wale wa upande ule walikua wanamfurahia wanalamba lamb wa upande huu wa pipoz mkawa mnamponda sana na kumuita mwehu.Alipohamia upande wa pili watu wa lumumba wakasema amenunuliwa huyo msimsikilize ni mwehu anatumiwa data n.k. Alipoamua kuwatosa wote leo wengine mnasema amelipwa. Mange ameamua kurudi kwenye mambo yake ya umbea ambao kwa wanaomjua ni hulka yake ila wengine ndo wanamuona kichaa. By the way ana mabaya yake vivyo hivyo na wewe na mimi. Sooo hakuna mtu mkamilifu chini ya jua. Kuna watu hawajitoi public kama yy ila ni malaya ,ni wezi wa waume za watu, wadangaji,wavaa uchi,watukanaji n.k
Wembe hauniumizi tafuta kingine nimeze
Zari alilianzisha mwenyewe. Wacha wajibizane.
Nazungumzia Saga la juzi hapa. Achana na hilo la wakati wa Tiffa. Kama walitukanana kipindi hicho yakaisha. Hiyo Chokochoko ya Zari aliyoanza nayo juzi kutukana watoto wa Mange ilitokana na nini?How?zari ndio aliyemtuma mange kumtukana tiffa kabla hajazaliwa?
Alianza Nani? Wakati tiffah anazaliwa unajua mange alisema mtoto wa Nani? Au unajua mange kaanza kumtukana nillan tangu ajazaliwa, tangu enzi yupo na Wema sepetu damu damu mange anatukana watoto wa zari
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Nazungumzia Saga la juzi hapa. Achana na hilo la wakati wa Tiffa. Kama walitukanana kipindi hicho yakaisha. Hiyo Chokochoko ya Zari aliyoanza nayo juzi kutukana watoto wa Mange ilitokana na nini?
Nazungumzia Saga la juzi hapa. Achana na hilo la wakati wa Tiffa. Kama walitukanana kipindi hicho yakaisha. Hiyo Chokochoko ya Zari aliyoanza nayo juzi kutukana watoto wa Mange ilitokana na nini?
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]