Baada ya kuona ameacha masiasa yenu ameacha kuwasemea ndo leo mnamuona wa ajaabu? Jamani binadamu bana wakati ule alikua ccm anamremba Jiwe wale wa upande ule walikua wanamfurahia wanalamba lamb wa upande huu wa pipoz mkawa mnamponda sana na kumuita mwehu.Alipohamia upande wa pili watu wa lumumba wakasema amenunuliwa huyo msimsikilize ni mwehu anatumiwa data n.k. Alipoamua kuwatosa wote leo wengine mnasema amelipwa. Mange ameamua kurudi kwenye mambo yake ya umbea ambao kwa wanaomjua ni hulka yake ila wengine ndo wanamuona kichaa. By the way ana mabaya yake vivyo hivyo na wewe na mimi. Sooo hakuna mtu mkamilifu chini ya jua. Kuna watu hawajitoi public kama yy ila ni malaya ,ni wezi wa waume za watu, wadangaji,wavaa uchi,watukanaji n.k