Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

This one covers for Mange.
Kila Mange akichafua hali ya hewa yeye kazi yake kuja kusafisha.
Yaani mimi sio bendera fuata upepo.
Hapa duniani usipoweka speed governor ya mdomo haswa katika mambo ya kipuuzi, hakika unajiweka mashakani.

Mie hata sielewi kama kweli mtu anaweza kukaa chini na kuandika yote hayoooo halafu anasubiria wadau wake wakawaombe arudiane nao urafiki.

Aoshe nyota yake ya balaa kwanza then hapo atajielewa, kimemuuma siku zote kudisiwa ndio kaamua kutumia kupitia post ya ndugu wale kumwaga yake aliyoandika...kwa mie naona kingine zaidi pia ndio hicho kuwagombanisha hao aliowataja.

Yaani anataka asikie nao wamesambatatika sababu hawako nae urafiki. Hicho tu ndio nia yake anajua kwa maili millioni ndio imetoka na wake haswa awatakao wawe karibu nae.

Pesa za kudowea kwa Mwamvita nazo zinamuumaje basi.

Khaaa asali ajisafishe then ajitafutie marafiki hata wa nchi zingine huko alipo, maana na wale wazungu walimdis labda ajigonge au kuwavamia.
 
kuna watu natamani kuwataja waliokua wanauzwa na fiderine iranga hapa ila daah hapana mana enzi hizo nibahatika kutembelea ushuani kwa besti zangu pale jirani ndo kwa fide
sema sasa hv wanajifanya wana mastatus yao nawacheka sana

Njoo pm mpenzi
 
Haya chagaempress

Hatimae chaggabibi kafunguka....

Watafunguka tu wote ... mpaka ifike jumapili watafunguka tu soon insta itawaka moto

Ila.nimeyapenda maelwzo yake

Ingawa inabisi kila mmoja afunguke mpaka mwenye ile bloggu ajulikane haahah


Ubuyu mtamu huu
 
Jamani wala tusisifie wanaume maana sio wote wanamasifa mazuri

Kuna wadaku na udaku umewajaa, tena wanaongoza zaidi ya wanawake kuongelea mademu waliowapitia au wanawapitia wanaojua sio wa kuoa hao wanawekwa mezani na kupakuliwa na menginayo. Hata wao kwa wao
kama kawa

Nao usemana pia nya ya mapazia na migongo ya watu...
 

Yaani hapo ndio kanikosha maana kamwanika pia Mwammy vibaya kwa kazi gani alikuwa anapata pesa hizo za kugawa, ametaka kurusha kumchafua na kutaka kumjazia majambazi tu.

Hakuna zuri kwa kweli zaidi ya kutaka pia kuonyesha kuwa wale wote na akina Nyaki wanataka misaada, sasa kama yeye alishindwa kufunga bakuli akawa mdaki ni bora angenyamaza....akilala akiamka anamfikiria Nacky na Kiki wanatanulishwa na Mwammy.

Yaani ya leo kali hadi eti ndege, sio muke ya muzungi tena kupanda na zile sijuo airmiles sijui kampuni ya mume kusafirisha sijui wakwe sijui credit card ya mume leo uwiii Mwamvita,

Leo Mange katumia njie kujiwahi kabla mabomu hayajapasuka maana kamsema Kaka mtu vibaya kuna vitu kajiwahi kwa alivyomwandika Mwamvita

misaada aliyompa biashara aliyosema anafanya kazi pesa sijui mali kumbe bibie amempa mkopo duh kweli Mange alimfanya Mwamvita mti wa mwembe bila kumuheshimu alichuna tu na kuringia waliomzidi akili...inaumaje now no misaada no kumlilia shida na ufitina wa kula vya watu bure...

Aaagj Mange sema mengine basi, toa toa siri kabla hawajabwaga....duh umejiwahiiiiii

Mie siwajui ila nacheka nisizeeshe sura yangu...

Haya naenda tafuta ubuyu wa madam wako anayeiba waune za watu, wa TZ ooo wa BBA ooo kila dume lina wake anaingia siku moja mbili mtu mchumba haya .....
 

Nadhani humjui huyu dada, anamchambua #Lowasa sembuse hao wadada wa mujini! Eti anasema anaweza kumsamehe mtu hata sasa yet anamwaga siri zake hadharani! !?? Kwani hawezi kuishi bila kuwazungumzia watu wengine? Only fool can believe her!
 
Nimesikitika sana kuona kuna watu wanadema eti leo kajieleza vizuri! Mtu gani ugombane na watu wote hao?? Kasahau watu kibao Vipi Kinje, Magai mume wa Shamim ,Miraj Kikwete na wengine kibao Teddy Kalonga

Wasikutishe hao wote ni misukule wake, mtu yuko biased hivyo bado wanasema kajieleza vizuri, she tries so hard to put her self in a safe lane, anasema na yeye pia anamapungufu halafu haelezi ye aliwakoseaje wenzie!
 
Mange is a stupid woman aliyeji-overexpose alipokuja hapa marekani kama vile ndiye mtanzania wa kwanza kuishi Marekani. Kujidai kuwa watoto wake wanasoma shule iisiyokuwa na weusi bali wazungu tu, au kudai anaishi neighborhood ya wazungu tu inaonyesha ni mpumbavu wa aina gani. Hajui kuwa kuna watanzania hapa wana wafanyakazi wa ndani wazungu, na kuna watanzania wengi wanaoishi hapa ambao ni wakuu wa idara zao zikiwa na wafanyakzi wengi au wote wazungu tu. Mama huyu ana mapungufu sana ya kiakili hasa pale alipokuwa akiwaandikiwa wasichana wa kitanzania namna ya ku-hook mwanamme wa kizungu. Kwa hiyo wale wote walogombana na Mange nawaonea huruma sana kwani nadhani walikumbana na dhoruba la kubadilishana maneno na mtu asiyekuwa na akili.
 

Bora hata we umeliona hilo kuliko hao wanaomsifia eti ana confidence! Mbona wengi tu wanacourage lakini hawazungumzii ya watu? The problem is hana kazi ndo maana, mtu mzima anapata wapi muda wa kuandika hizo worthless novel kila siku, the baddest thing ni kwamba mbona mabaya yake na familia yake hayaexpose? AMEUMIZA wengi sana, just assume mtu anakutukana wewe, mumeo, watoto wako, mama &baba ako, nyumba yako gari yako, hawara ako yani kila kitu kinatukanwa, There is no excuse in KARMA lets wait!
 

Na kuna watu wanamuona huyu kinyesi ni mtu wa maana sana yani unaweza sikitika mpaka ukajilaumu kwanini umezaliwa Mtanzania! Mtu anatukana watu wazima wapumbavu kina Lowassa mzee Kingunge anawatukana hadharani yani hawezi kuweka hoja bila kashfa anaona msgs hazifiki! kwenye utumbo wake aloandika leo anataka kusamehewa bado anaandikq upuuzi unaomba msamaha halafu unarusha vijembe? mtu ambae inaonekana asipo patana nae atazidi kuwa taahira ni miss Makamba yani u can tell anavyoumia kumkosa huyo dada na navyojua ni kwamba miss Makamba hataki hata kumsikia haha yeye huku anasema wako poa! Mwamvita asipokubali urafiki tena huyu Mange ataokota makopo mtaniambia.
 

hivi marafiki wa nini haswa yaani una watoto na mume kwanini mumeo asiwe best friend wako wewe mdada .upo lonely namna hiyo !!!mpende mumeo wewe
 
Leo ndio nimejua kwanini anamuheshimu sana Mwamvita na kuumia kupoteza urafiki nae... Na sidhani Mwamy anaweza kurudiana nae huyu jinsi anavyompaka kaka yake January.
 
Wapo mbona? Nasikia hadi mmiliki wa hapa tulipo.
Nikae kimya mie bado naipenda JF.

Hahahah mnataka list ya wanaume mtamfanya mwenzenu afungwe bure hasa atakapoifikia ile namba ya Wakili sijui Mwanasheria yule wa IMMA sijui yule alimchapaga makofi kiwanja sijui ndo mwaita Level 8 nini nini...

Eh mdomo koma eh.... usinchonganishe na Shutup Law mie.
 

Kweli kabisaaa!
Kuna kiumbe mmbeya kama mwanaume? Kuna mtu ana hasira kama mwanaume! Mwanaume hajui kutunza siri asilani, anakulala leo anatangaza kesho.Leo hii ndio nione mwanaume ni resort nzuri ya rafiki?
Wanaume hawajui kutunza siri, ni wasengenyaji wakubwa ila sio watu wa kuropoka wala wa kusutana.Ukikaa vizuri na mwanaume anakusimulia visa yote vya rafiki yake na madhaifu yake hadi michepuko yake.
Wanaume wepesi sana kuwachota, hadi best friends wanasemana ila hawachukulii kihisia sanaa kama sisi.wanajifanya wanasengenya kistaarabu.
Ila huwezi kuta mwanaume analaani hivi marafiki zake au kujitangaza alogombana nao kwa tuvisa twa ajabu ajabu kama vile kusimangwa, labda wadhurumiane fedha au kuibiana wanawake wanaweza hata kuuana.
Wanawake sisi ni changamoto, ndio maumbile yetu.
Mungu ndio maana aliona tutawaliwe tu na wanaume.Iyo ndo stahiki yetu kabisakabisa.
 

Tena kipindi kile alikua anatukana watu waliotag tu IG!
Anatukana watoto, mmeo, wakwe hadi vimbwa!
Ila yeye hataki aguswe kabisaa, wala hataki mashambulizi.Alitoa mawasiliano hadi ya wanaume wa watu kwenye blog akisema eti watu wajichukulie mwanaume huyo.
Leo hii mie nimwone jasiri? Eti sijui wa pekee sijui wa kuigwa kweli?Eti yupo real!
Kuwa real ni kukosa staha na maisha ya watu walowahi kuwa sehemu ya maisha yako? Kuwa real ni kuwachafua watu walokuumiza ili kila mtu awaone wana roho mbaya, wanafiki na hawafai hata kwa kurumagia kisa wewe ulishindwana nao?
Anatumia iyo kama shield ila deep unside naona yeye kutoka katika lile group inamuuma kiyama na inamkosesha raha na hataki urafiki wa wenzie uendelee eti wapo fake?
Whats being fake labda sijui mie..
Mwanamke jasiri kwangu ni yule anaefikisha ujumbe wake bila kuwa biased wala kuangalia upepo unaendaje, angeandaa makala ya changamoto za kirafiki na costs zake ningekua na la kumpongeza,

Mwanamke jasiri ni yule anaejali hisia za wengine, hususani walowahi kuwa sehemu ya maisha yake.

Mwanamke jasiri anajua kuachilia vinyongo na kutunza siri za wengine.
Mwanamke jasiri anajua kujizuia na kuheshimu maisha ya wengine.
Ana ujasiri gani zaidi ya kutaka kuwafurahisha anony.
Hao x friends zake pia wana maadui wao ambao wanabenefit kwa kupitia songombingo hili kuweza kujipa credit.
Kama mtu ulishamalizana naye urafiki kuna haja ya kufurahia mabaya yake kuwa ameachwa au kumpaka kuwa ana roho mbaya sana na kumwombea mabaya?
Nimemaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…