Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

pasua kichwa wewe..ama anakulala kazi anayo
 
Nimejaribu kuunga dots nimeshindwa kujua anayemtumia messages mume wa uwoya ni nani.
Ngoja wambea wengine waje huenda tukajua.

MH mwenzangu, uwoya nae anatupa ma assignment loh, tutakoma, sijui atakuwa nani mmh
 
Ni vizuri kutoleana vinyongo, km waliotajwa hawana kinyongo na wao wacha wajieleze.
Si rahisi kwakwa Mange kumpigia cm kila mmoja waanze kujadili sababu kila mtu atajitetea kuwa si yy na watakuwa wanarushiana mpira na isitoshe group ni kubwa. Nimempenda starlisha kasema ukweli wake na hata Rachel hakuwa mnafki pia.
Ila ni vizuri kusafiana nia.
Yy Mange si perfect, wala ww wala mm yani kila mmoja na mapungufu yake ila kila mtu na alivyojaaliwa akili katika ku deal na vitu. Wengine watanyamaza, wengine watasutana wengine na wengine ni km Mange.

Ila sio vizuri to come to conclusion about people all the time that they are bad people or because they have been nasty to others,that means they can't change.
Life is too short, it's good to come clean and being honest to each other.

Nyie endeleeni kumsifu na kumpamba.
Freedom of speech, ila hamumjengi bali mnamubomoa.
Kizuri tukiige, kibaya tukikemee na kukikwepa.Hili sio jambo zuri kwa mtazamo wangu.
 
Alafu sisi wanawake ndio tumekazana kusema wanawake ni marafiki wabaya, hawafai, mara ooh bora kuwa mwenyewe
Sijaona hata mwanaume mmoja anaponda urafiki, hasa wenye manufaa.
Unapoona rafiki hana manufaa yeyote kifikra au kwa namna yeyote achana naye.Ila sidhani kama katika wanawake wote ukakosa rafiki kabisa, lazima wewe una matatizo makubwa.
Mnapoanza kusimuliana aibu zenu na kuendekeza ujinga lazima mtakorofishana tu, hususani wewe mwanamke mpuuzi unapokutana na mpuuzi mwenzio.
Wanaume wanasaidiana, wanapeana ushauri na kujengana.Wanateteana na kutiana moyo.
Sisi tumekalia majungu tu na kuliana timing ya kuibiana mabwana na kusambaziana siri ingawa sio wote.
Kwa mtindo huu mwanamke atabaki kuwa kiumbe duni kabisa zaidi ya sisimizi.
Choose your friends wisely, the more friends you have, the more enemies you make!
Ulimbukeni wa kutembea kama kumbikumbi ndio chanzo cha magomvi ya wanawake.
Mwanamke mpuuzi, huamabatana na marafiki wapuuzi.
Real friends, defines real friendship.Keep your secret to yourself, your friendship is safe!
Sidhani kama urafiki ni mbaya, sisi miwanawake ndio mibaya.
Pumbaff zetu, haki sawa kwa wote my ass!
 
Karibu Mange
 
Karibu Mange

This one covers for Mange.
Kila Mange akichafua hali ya hewa yeye kazi yake kuja kusafisha.
Yaani mimi sio bendera fuata upepo.
Hapa duniani usipoweka speed governor ya mdomo haswa katika mambo ya kipuuzi, hakika unajiweka mashakani.
 
Amani kwako my doll!
Leo umevuta cha wapi?! Lol

Umenikosha sana thumbs up!

ukakosa rafiki kabisa, lazima wewe una matatizo makubwa.

Sisi tumekalia majungu tu na kuliana timing ya kuibiana mabwana na kusambaziana siri ingawa sio wote

There you go, all your words . Stop being two faces, Mange ana majungu when she says what you don't want to hear. I think you're one of the them, you seemed to be very judgmental.

Hypocrisy will never end.
 
daash shikamoo zako mingiii..!!!
 
Amani kwako my doll!
Leo umevuta cha wapi?! Lol

Umenikosha sana thumbs up!

Ha ha ha!
My dear, am just speaking out loud!
Naona kila mtu anaponda urafiki wa karibu na mwanamke mwenzako eti bora wanaume! Ndio maana nyadhifa kubwa hatuziwezi kwa sababu sisi wenyewe tumeprove failure katika urafiki ambao ni simplest form of organization.
Eti wanawake wambeya, wanamajungu na wivu wakati in real sense wewe mwenyewe ndiye mmbeya, una husda, mbinafsi afu una domo pana kwani umeambiwa rafiki ndio mtunza siri zako?
Unashindwa kujiamini kujitunzia mambo yako kweli kabisa? Ndio maana wanaume wanatudharau, sisi wenyewe tunakwepana tunakimbilia urafiki wao.Wanaume wanajua kuweka mipaka yao, wanajua kabisa huyu rafiki wa kilaji, huyu wa biashara, huyu snitch, huyu wa msaada ila fulani sio wa msaada kabisa ila ni mshikaji.
Yani wewe unashindwa kupangilia maisha yako una entrust kila kitu kwa rafiki? Lazima ulie tu.Na ujue nothing is permanent even your life itself seuze urafiki wa hapa duniani? Urafiki ukivunjiaka ndio unajitangaza dunia nzima na kulaani dhana nzima ya urafiki?
Rafiki anaweza akatunza siri yako vema kabisa, akakupa msaada vema kabisa na ushauri muruwa kabisa, akipata rafiki mwingine tu imekua kesi!
Mnagombeana status na idadi ya marafiki?
Kah kwa usimple mind huu na uwezo wetu mdogo wa kubeba mambo hakika wanaume endeleeni kututawala kwa dahali yote milele amina.
TATIZO SIO URAFIKI, TATIZO NI WEWE MWENYEWE NA AINA YA MARAFIKI UNAOWACHAGUA NA MAMBO MNAYOAMUA KUFANYA
 
ukakosa rafiki kabisa, lazima wewe una matatizo makubwa.
Mnapoanza kusimuliana aibu zenu na kuendekeza ujinga lazima mtakorofishana tu, hususani wewe mwanamke mpuuzi unapokutana na mpuuzi mwenzio.
Wanaume wanasaidiana, wanapeana ushauri na kujengana.Wanateteana na kutiana moyo.
Sisi tumekalia majungu tu na kuliana timing ya kuibiana mabwana na kusambaziana siri ingawa sio wote

There you go, all your words . Stop being two faces, Mange ana majungu when she says what you don't want to hear. I think you're one of the them, you seemed to be very judgmental.

Hypocrisy will never end.

Hypocris will never end indeed.
Wacheni kumtia ujinga mwenzenu akati nyie mnalala kwa amani usiku kucha yeye kabeba zigo la chuki moyoni mwake
Acheni kabisaaa....sifagilii ujinga ujinga kabisa
Kama sikubaliani naye sikubaliani naye tu.
Huwa mnampump ujinga ujinga tu
 
Nyie endeleeni kumsifu na kumpamba.
Freedom of speech, ila hamumjengi bali mnamubomoa.
Kizuri tukiige, kibaya tukikemee na kukikwepa.Hili sio jambo zuri kwa mtazamo wangu.

Hivi unaweza kukumbuka list ya watu wote hao hadi visa kabisa vilivyowafanya mgombane tena unasimulia......really??!!!
Issue kama ya Flaviana na ya Diamond nazo ni za kukaa akilini kweli mpaka mtu afikie kuwahesabu eti amegombana nao?! Duuuhh pole yake maana roho yake itajaa visasi sasa
 
ukakosa rafiki kabisa, lazima wewe una matatizo makubwa.
Mnapoanza kusimuliana aibu zenu na kuendekeza ujinga lazima mtakorofishana tu, hususani wewe mwanamke mpuuzi unapokutana na mpuuzi mwenzio.
Wanaume wanasaidiana, wanapeana ushauri na kujengana.Wanateteana na kutiana moyo.
Sisi tumekalia majungu tu na kuliana timing ya kuibiana mabwana na kusambaziana siri ingawa sio wote

There you go, all your words . Stop being two faces, Mange ana majungu when she says what you don't want to hear. I think you're one of the them, you seemed to be very judgmental.

Hypocrisy will never end.

Hujanielewa Mange, ingawa una midigirii mingi.
Urafiki sio mbaya, wabaya ni marafiki hususani wenye mitabia mibaya.Ya kimalaya malaya tu, usengenyaji na wivu wa chini chini.
Nimekuja kujua Mange yeye alikua anapenda kusema watu ila yeye hapendi kusemwa!
Urafiki wao ulijengwa na watu wenye tabia za ovyo ovyo na they were only fighting to be next to Mwamy.. umasikini mbaya.
Na kinachomuuma mpaka kesho ni nafasi na status aliopoteza kwa binti Makamba.
 
Hivi unaweza kukumbuka list ya watu wote hao hadi visa kabisa vilivyowafanya mgombane tena unasimulia......really??!!!
Issue kama ya Flaviana na ya Diamond nazo ni za kukaa akilini kweli mpaka mtu afikie kuwahesabu eti amegombana nao?! Duuuhh pole yake maana roho yake itajaa visasi sasa

Shangaa na wewe!
Mama, mwenye familia yake kabisaaa! Tena hapo hajataja wote.
Ana kijiba cha roho jamani.
 
Enzi izo fiderin iranga ndo kuwadi mkubwa apo bongo, anajifanya anawaunganishia watu umodo kumbe anawauza kwa wanaume, kashawauza sana hadi akina naniliuu, kuna lijumba lao la ufirauni uko oysterbay yan ni shidaa, wale kwa umalaya wameshindikana sema wanajificha tu, mama ubaya anasubir

kuna watu natamani kuwataja waliokua wanauzwa na fiderine iranga hapa ila daah hapana mana enzi hizo nibahatika kutembelea ushuani kwa besti zangu pale jirani ndo kwa fide
sema sasa hv wanajifanya wana mastatus yao nawacheka sana
 
Si ndo hapo sasa!!

Hahahah tena usisahau kuwa mmbeya huwa hapendi umbea wake usemwe ila anaenjoy tu kutamka ya wenzake ni sawa na mwizi asivopenda kuibiwa!!

Back
Top Bottom