Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Kuna bifu moja naona kaingia vibaya na F.e.l ,,, wewe subiri July ndio atapoanza kuomba msamaha
Bifu gani tena hilo aliloingia vibaya. Funguka basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna bifu moja naona kaingia vibaya na F.e.l ,,, wewe subiri July ndio atapoanza kuomba msamaha
Wewe hupotea sana aisee.
Ushoga wa wanawake ni majanga matupu aisee. Sijui nini hutokea hata kama hamjagombana. BADILI TABIA tupiamo screen shot basi
Ngoja niiscreen shot ya chaga
Jamanii Mrembo by Nature leta basi screen shot za chaga bibi tuone ,Nami ashaniblock hhhhaaaaa
Siku hiz mange ananifurahisha jamaniii japo Ana mapungufu yake lakin pia Ana mazuri yake,halaf haogopi wala hajalii,
Urafiki wetu sie wanawake lazima mgombaneeee tuu sijui kwanini tuna wivu,chuki,husuda,umbea,
Bora kukaa kivyako vyako tu
Mmh ushoga wao wote walikuwa feki,wanaishia kuzungukana tu ,na gurupu hilo lote la nini? Au ndio kujenga status, ya udada wa mujini ?
Wa hapa hamuwezi ni next level, Max level yake ni wa kujadiliwa na bunge la Tanzania na si hicho kiblog uchwara.
Mimi kama siyo JF wala nisingemjuwa Mange hata siku moja kwa sababu mimi sitembelei blog za kipuuzi, blog ambayo natembelea huwa ni Mjengwa blog tu.
Hahaaaaa uwiii mzurimie kweli anatuongezea gazeti tena buaaana. Alete screen shot ndo itanoga.
Khaaa! mzurimie ushaanza yale magazeti yako dear, mwenzio hapa kichwa kinauma.
Pls tuletee screen shots kutoka huko insta itakua poa zaidi.
Mwenzangu! Naona anataka tusilale bila kumeza headaxe leo...
Mimi hadi comments kwa mange nimeshindwa kusoma kwakweli, hili la leo sio gazeti bali ni novel!