Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Wanawake walio wengi full majungu na kuoneana wivu, kifuatacho kulogana...yaan mi huwa nakuwa makini sana, urafiki ni wa kikazi tu, tukitoka nje ya geti la kazi tusijuane!

Kweli kabisa mtu akizidiwa na mwenzake kuanzia maendeleo basi shida ukiondoka wanaanza kukuteta bure.
 
Bifu na diamond haimake sense maana diamond hajawahi kumjibu hata sasa utasemaje una bifu na mtu ambaye hajakujibu hata na hana time na wewe,
Nilidhani bifu ya yeye na Linda ilikuwa hot kumbe hamna hata kwenye list

Yeye kwa diamond anaitwa hater maana kila siku humwandika kwenye blog na Zarina. Nadhani hao alio wa mention kama kina Nancy na Nakaaya nikwa sababu aliwaandika kwenye blog basi nalo anaita bifu au kugombana nao.
 
Nimetoka kulisoma huko u turn nusu saa iliyopita hadi kichwa kinauma kwakweli.
Hongera zake, ni typist mzuri sana.

nimepitia namba 1 hadi 10 wote ni wanawake, hajagombana na mwanaume yeyote??
 
Kumbe jestina na mage Hanlon (hyo hanlon sijui ndo inaandikwa hivyo au lah) ndio walipeleka Kwa mange ishu isiyo ya kweli... Hahaha wanatajana. Recho yeye anasema anasababu za chuki dhidi ya mange na ndo ashaamua. Haya Mrs sembe tiririrka basi
 
Wapo mbona? Nasikia hadi mmiliki wa hapa tulipo.
Nikae kimya mie bado naipenda JF.

Ndo walimchambua huko kwenye blog kisa eti watu walikua wanaanzisha topic sasa yeye akamvaa mmiliki wa JF.
 
Bifu na diamond haimake sense maana diamond hajawahi kumjibu hata sasa utasemaje una bifu na mtu ambaye hajakujibu hata na hana time na wewe,
Nilidhani bifu ya yeye na Linda ilikuwa hot kumbe hamna hata kwenye list

Soma vizuri mbona Linda yupo? Ila kasema hamchukii kivile yuko radhi kupatana nae ila sio kuwa marafiki wa kihivyo bali wa kiheshimiana tu na salamu basi.
 
Wapo mbona? Nasikia hadi mmiliki wa hapa tulipo.
Nikae kimya mie bado naipenda JF.

Wa hapa hamuwezi ni next level, Max level yake ni wa kujadiliwa na bunge la Tanzania na si hicho kiblog uchwara.

Mimi kama siyo JF wala nisingemjuwa Mange hata siku moja kwa sababu mimi sitembelei blog za kipuuzi, blog ambayo natembelea huwa ni Mjengwa blog tu.
 
Jamanii Mrembo by Nature leta basi screen shot za chaga bibi tuone ,Nami ashaniblock hhhhaaaaa
Siku hiz mange ananifurahisha jamaniii japo Ana mapungufu yake lakin pia Ana mazuri yake,halaf haogopi wala hajalii,
Urafiki wetu sie wanawake lazima mgombaneeee tuu sijui kwanini tuna wivu,chuki,husuda,umbea,
Bora kukaa kivyako vyako tu
 
Last edited by a moderator:

Ushoga wa wanawake ni majanga matupu aisee. Sijui nini hutokea hata kama hamjagombana. BADILI TABIA tupiamo screen shot basi
 
Last edited by a moderator:
Kuna bifu moja naona kaingia vibaya na F.e.l ,,, wewe subiri July ndio atapoanza kuomba msamaha
 
Back
Top Bottom