Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mdomo koma mdomo utaniponza ujue? Mimi mwenyewe sijisikii vzur kwa kweli kuna kitu kimenikaba kooni, mwenzangu ni k -lyn binamu, eh ntakufa buree ,kutunza siri siwezi mie
Funguka jamani au njoo pm
 
Ishu ya wakubwa binamu, naomba tuiweke pembeni, mana hii scandal mwenyewe sasa ivi kashakuwa muheshimiwa, nisije pelekwa mahakaman buree kama naniliuu

Binamu nakufuata pm seriously! Pls usinibanie huu ubuyu!
 
Yani huyu kwa kuandika gazeti hajambo. Urafiki wa wanawake zaidi ya watatu hugeuka umbea na kusemana semana kusiko na kichwa wala miguu. Kugombana hakuepukiki huyu atapeleka lile abadilishe maneno. Ushosti wa wanawake wengi siupendi kabisa.

Wanawake walio wengi full majungu na kuoneana wivu, kifuatacho kulogana...yaan mi huwa nakuwa makini sana, urafiki ni wa kikazi tu, tukitoka nje ya geti la kazi tusijuane!
 

Attachments

  • 1433347863315.jpg
    1433347863315.jpg
    79.4 KB · Views: 751
Bifu na diamond haimake sense maana diamond hajawahi kumjibu hata sasa utasemaje una bifu na mtu ambaye hajakujibu hata na hana time na wewe,
Nilidhani bifu ya yeye na Linda ilikuwa hot kumbe hamna hata kwenye list
 
Back
Top Bottom