Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mbona ya kusagana hayasemi? Au tumsaidie ,maana
Mdomo unawashaa ata chai sijanywa apa

Alisagwa sana sana na wala sioni kama kuna rafiki yake amewah kumchafua kwa hilo.
Hapa pana mengi binam, na wivu wa kisago unahusika.
Hawa wadada wa mujini kwa dildo na kuridhishana siwawezi.
 

DUH ila kaesha kuzuri zuri umeona wapi hizo chating
 
NItashangaa kama biashara yote ile aliyokua akifanya bado anaishi maisha magumu, maana alikuwa ana deal na waheshimiwa na wazungu matajir, yani wengi sana kawaoa madil ya kwenda south, na ulaya

aah wapi yule fid mbona kwao safi tu toja kitamboo...!!
kuna dada mmoja wa mjini alienda pale analia kafukuzwa akamuambia uskonde we kaa hapa ila usijakatae kazi kauza nyapu hadi kazaa na mtasha

fide mjanja sana yule dada..
halafu ana mtoto siku hizi!
 


hahaa ndio maana niliona wanamsema eti Mweupe kama papai bovu lol
kumbe ndio huyoo nikajiuliza mara saba saba sijamjua.... Bibie kapanikije jana
 
Hahahah dada utafungwa. ...


 
Hivi unajua huu ubuyu mtamu sana....


 
shoati insta bado haijachafuka??????




Ila ushosti mkishazidi 3 lazima kuwe na mvurugano.......

Haswa ushoga wa mjini ambao wako kimaslahi zaidi na kumaintain status.....

sijaingia tangu jana.. Leo jf tu

marafiki wengi wa kazi gani... Circle yenu inakua kusemana
 
Yap

Kwanza ukiwa na maragiki chungunzima si mtu unakua busy sana jamani???


sijaingia tangu jana.. Leo jf tu

marafiki wengi wa kazi gani... Circle yenu inakua kusemana

Tena inakua full majungu umbea kutetana na maugomvi yasiyoisha
 
Binamu nimeona hiyo msg za ndikumana huko IG....

I wonder irene aliwezaje kuishi na mwanaume mwenye vijembe vile khaaaa


Mswaki wangu umbea, mswaki upi tena? Apa sura limenivimba nakwambia ukiniona utataman kukimbia ata uso sijanawa mwenzangu,mi brekafast yangu umbea tu menginr baadae
 
Binamu nimeona hiyo msg za ndikumana huko IG....

I wonder irene aliwezaje kuishi na mwanaume mwenye vijembe vile khaaaa

Tulikuwa tunamuona dada yetu kicheche ila kwa kauli za ndikumana mmh hapana, yataka moyo sana, ana maneno ya kashfa, mbona mwanzoni alikaa kimya tu kwan alipungukiwa nn, ujinga tu mxiuuu ndio maana linagongewa mke wake
 
warumi kiboko. Aliweka wazi kabisa ndo yamejirudia Leo. Na huyo bwana nasikia alikuwa na MTU wanaishi km hubby and wife thou ndoa ilikuwa bado. Flavy akamnyakua.

Bi dada ndio alimtema Deo baada ya kupata bwana wa mnaigeria mwenye pesa kama mchanga, Deo ndio akaamua kujipooza kwa Flavy, yule mdada alikuwa mzuri balaaa, mange hajaamua tu kufunguka ila Flavy alikfanywa kipoozeo na ndoa ndio inanukia.
 
Hicho kiflaviana kumbe ndio kinafki hivyo?Halafu umeona ile comment ya anavyopigwa three some na akina FA? Ni balaa.

Hata mi flaviana sikutegemea,kumbe ndo kapo hivo
 
Sio wanaume wote wana tabia hyo, kuna baadhi wanajiheshimu tu na hawaendekez majungu, japokuwa asilimia nyingi kwel wapo wenye tabia izo, yote tisa, kumi omba mungu usikutane na mtu anaitwa warumi, utajuta kuzaliwa hakyamungu

Kwani nae mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…