Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Huyu basi kichwa chake hakipo vizuri.Wapo mbona? Nasikia hadi mmiliki wa hapa tulipo.
Nikae kimya mie bado naipenda JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu basi kichwa chake hakipo vizuri.Wapo mbona? Nasikia hadi mmiliki wa hapa tulipo.
Nikae kimya mie bado naipenda JF.
Unajua tunapokaa na kujadili facts za watu ni raha sana.Napenda umbeya, ila siwezi kuvuka ile limit ya kibinadamu kushangilia ghiliba linalompata mwenzangu kisa umbeya?
Watu mnakazana kusema eti wadada wa mujini sijui wana roho mbaya siri zao zimefichuka! !
Wengine hapo wala sio celebrities ni watu wa kawaida tu.
Ujue pale akiwepo ndugu yako mmoja unaweza kunielewa.
Hili swala limegubikwa na WIVU,KIJIBA CHA ROHO NA HUSDA
Mie sioni kama Mange ni jasiri.Namwona kama mzandiki.
Serious wanawake tunajishushia sana heshima.Yani mie nimsifu mtu kama huyo ambaye mada zake nyingi ni personal na huwa anatoa maalumu kwa ajili ya kuumiza hisia za watu.
Tofauti sana na Global.
Yani ni sawa Emelda Mtema ator udaku afu aingize na hisia zake na chuki juu ya mlengwa?
Kama umbeya ndo huu, this is madness.
We are all human beings, not perfect at all.Unajisikiaje mtu anapokuanika kwa imperfection zako kisa uliwahi kuwa rafiki uake au ulikwaruzana naye tu.Unatukanwa wewe na ukoo wako na rafiki wa karibu kisa mkwaruzano huo?!
Mange siwezi kumsifu abadani, nyie wenzangu endeleeni kumtukuza tu
Hahahaaa wambea wanamsifia Mange kwa alichokifanya, sio kwamba ni kizuri ila kwavile wanazidi kupata maubuyu ya town!
Miss u sana wangu. Mambo?Nimejaribu kuunga dots nimeshindwa kujua anayemtumia messages mume wa uwoya ni nani.
Ngoja wambea wengine waje huenda tukajua.
Hahahaaa wambea wanamsifia Mange kwa alichokifanya, sio kwamba ni kizuri ila kwavile wanazidi kupata maubuyu ya town!
haaaa nikajichekea tu
amesema she is not perfect hawezi kumridhisha kila mtu.. Ana mazuri na mabaya yake
Miss u sana wangu. Mambo?
huyu dada ana matatizo makubwa sana, mange ni shidaaaa! ILA ANA KIPAJI CHA KUANDIKA! Kha I CANT JAMANI I CANT!
upweke mbaya sana......!!!
Ms.Lincoln
Nimponde Mange kisa nini?Sio mara zote hua namkubali Mange, kuna wakati ananikera na hua nasema wazi, ila akifanya poa hua nasema pia.Sina haja ya kumchukia mtu kwa kila jambo, huo ni UNAFKI.Kila mwanadamu ana mema na mabaya yake.
Pia haya maisha kila mtu na lifestyle yake,wao walijichagulia maisha hayo, yakawakuta yaliyowakuta, sisi inatuhusu nini? Wenyewe wamevuna waliyoyapanda.
Hata hivyo Mange hajafanya vibaya kuwaanika maadui zake.Nilichopenda ni jinsi alivyoweka wazi kua wapo ambao yupo tayari kupatana nao na ambao hayupo tayari.
Ni nani asiyekua na maadui? Hata humu JF japo tunatumia fake id's tu lakini sidhani kama kuna ambaye hana adui yake japo tunatofautiana idadi.Hata mimi nifah nina maadui chungu nzima wengine nawajua wengine siwajui hua nasikia wanasema huko pm's kua hawanipendi.
Sasa hapa tu natumia fake id's na bado watu wananichukia kisa misimamo yangu na vile ninavyojielezea, katika maisha ya kawaida hali ikoje?
Hao ni wanaonichukia, wapo ambao tuliwahi kukwaruzana sehemu fulani hadi sasa hatuquote each other.
Vipi huko nje ya JF katika maisha ya kawaida?
Kugombana ni jambo la kawaida tu.Hata huyo Mange siwezi kumlaumu kwa kua na idadi ile ya watu maana hakupenda kuishi kinafki na watu ili tu aonekane mtu mwema.Ndio maana kasema hata yeye alikua na mapungufu yake.
Pia kuongea mambo yaliyokua moyoni ni vyema kwani vinyongo vinaua! Ni wangapi wanakufa kwa kujinyonga/pressure kisa msongo wa mawazo?
Hivyo yeye kutoa yake ya rohoni sio mbaya hata kidogo.
HATA SISI TUNA MAADUI, HAKUNA ALIYE MWEMA KWA WATU WOTE.
Huwa unakosea spelling za id yangu dear, hata kule blogini kwenu mnakosea.
Cc: mzurimie.
Unfortunately I don't comment on Mange's blog, I only tell you guys off sometimes because you seemed to have personal crushes with her. It doesn't need a degree for someone to notice, anyway have a good day.