Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?


Mange ni mzandiki sana katika kutaja hayo majina si kwamba anataka kupatanishwa nao, hapana anachotaka hapo ni kuwaanika hao waliokuwa marafikizake ili siri zao ziwe hadharani kama alivyofanya kwa Nancy na dadake mpaka mambo yaliyokuwa hayajulikani yaliwekwa hadharani. Ni mjanja sana sasa hivi yuko mabali na hawa watu anajua kupitia comments za watu atapata kujua mambo yanayoendelea kwa undani ya hawa maadui zake, hapo wala hakuna jema alifanyalo zaidi ya kutaka kuwaanika watu kitu amabacho si kizuri. Na kwa kuwa anapenda watu wenye nazo ndio maana hakutaka kumwanika mwamvita kama kuna kitu kinamuuma ni kuwa na uadui na mwamvita na hataki kukiri hilo kisa ni pesa, anajua kutukana watu wanaotembea na waume za watu ila kwa mwamvita hakuthubutu kulianika, mange ni nyoka mwenye sumu mbaya sana.
 
Huyu Mange ni mnafiki balaaa, haya leo birthday ya Mwamvita Makamba vipi haendi tena kumsurprise kama alivyofanyaga alipokuwa Dubai? mmmh akitokezea leo pale lazima akalale jela.
Mange hajawataja hawa
1.Devota Diva (mzigo wake mmoja wa nguo ulishafikiaga kwenye duka la Devota, ghafla kimyaaa,Devota kaenda mpaka LA mitaa anayokaa Mange, ila naona kuna beef, halafu Mange atakuwa pia kajificha maana hataki watu waone kibanda hasara anachoishi kwa sasa,
2.Captain Hilda,
3.Elizabeth Gupta (alishatangaza wanafanya naye business Nigeria atakuwa yeye anapeleka magauni yanafikia kwenye duka la huyo dada) ghafla kimyaaaa.
4. Zenat -yule aliyemchukuaga kama housegirl kikanuka mdada akatunga uongo anahitajika bongo akasepaa hadi leo Mange anaenda bongo hawaonani hawaongei
5. BIMDO aliyeenda akazaa na Frank Gonga (baba Bhoke), sasahivi BIMDO ndio best wa Mwammy sijui ndugu wale ???
6. Girlfriends wa Gonga WOOOOOOOTE and I mean wooooote keshatukanana nao
7.Mke wa Frank Gonga maana washatukanana sanaaaa tena sanaaaa
8. List ya wanaume inaanzia hapa.............:sad:
 
Mange alishakiri kwamba maisha yake yapo blogini. Ukiwa na utafiki nae ujue kabisa utaaapia blogini kwa mabaya na mazuri. Wakati wanauzishwa sura kwa lunch za Serena na Hyatt si walikubali so hata sasa wakubali tu kikiwa kimenula
 
Reactions: naa
Kuna kitu hapa nimejifunza watoto wa kike inabidi muelewe mtu usiye na mahusiano naye ya karibu (sana sana) wa kiume anapotofautina na rafiki yako ukauvalia njuga ugomvi usidhani na yeye anakuchulia na wewe adui yake pia hizo fikra zinakuwa kwenye kichwa chako tu.
 
Ms.Lincoln
Nimponde Mange kisa nini?Sio mara zote hua namkubali Mange, kuna wakati ananikera na hua nasema wazi, ila akifanya poa hua nasema pia.Sina haja ya kumchukia mtu kwa kila jambo, huo ni UNAFKI.Kila mwanadamu ana mema na mabaya yake.
Pia haya maisha kila mtu na lifestyle yake,wao walijichagulia maisha hayo, yakawakuta yaliyowakuta, sisi inatuhusu nini? Wenyewe wamevuna waliyoyapanda.
Hata hivyo Mange hajafanya vibaya kuwaanika maadui zake.Nilichopenda ni jinsi alivyoweka wazi kua wapo ambao yupo tayari kupatana nao na ambao hayupo tayari.

Ni nani asiyekua na maadui? Hata humu JF japo tunatumia fake id's tu lakini sidhani kama kuna ambaye hana adui yake japo tunatofautiana idadi.Hata mimi nifah nina maadui chungu nzima wengine nawajua wengine siwajui hua nasikia wanasema huko pm's kua hawanipendi.
Sasa hapa tu natumia fake id's na bado watu wananichukia kisa misimamo yangu na vile ninavyojielezea, katika maisha ya kawaida hali ikoje?
Hao ni wanaonichukia, wapo ambao tuliwahi kukwaruzana sehemu fulani hadi sasa hatuquote each other.
Vipi huko nje ya JF katika maisha ya kawaida?

Kugombana ni jambo la kawaida tu.Hata huyo Mange siwezi kumlaumu kwa kua na idadi ile ya watu maana hakupenda kuishi kinafki na watu ili tu aonekane mtu mwema.Ndio maana kasema hata yeye alikua na mapungufu yake.
Pia kuongea mambo yaliyokua moyoni ni vyema kwani vinyongo vinaua! Ni wangapi wanakufa kwa kujinyonga/pressure kisa msongo wa mawazo?
Hivyo yeye kutoa yake ya rohoni sio mbaya hata kidogo.
HATA SISI TUNA MAADUI, HAKUNA ALIYE MWEMA KWA WATU WOTE.
 
Last edited by a moderator:

Kama sijaona la kumsifu katika hili siwezi fanya ivo.
Tuna mitazamo tofauti, naheshimu fikra zako.
Sioni hikma yeyote katika kuanika watu ulowahi gombana nao au unaodhani ni maadui zako, ili u-prove nini kwa mfano zaidi ya kutaka watu waanikwe bila hiyana.
Haya siku njema mama.
 
Last edited by a moderator:
Huwa unakosea spelling za id yangu dear, hata kule blogini kwenu mnakosea.
Cc: mzurimie.

Unfortunately I don't comment on Mange's blog, I only tell you guys off sometimes because you seemed to have personal crushes with her. It doesn't need a degree for someone to notice, anyway have a good day.
 
Last edited by a moderator:
Unfortunately I don't comment on Mange's blog, I only tell you guys off sometimes because you seemed to have personal crushes with her. It doesn't need a degree for someone to notice, anyway have a good day.

Mange has personal crushes with a lot of people.
Nice day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…