Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

MKIWA wanawake/girls watau A,B and C ujue wote wanatetana

A-B watamteata C
A-C watamteta B
B-C watamteta A
 
Ndo sawa mtu ukutane na mchawi mwenzio usiku mkiwa uchi wa mnyama mnawanga, halafu wewe unamuuliza mwenzio wewe unawanga? Apo ushasahau kuwa na wewe unafanya vile vile, hahaha haah

Umbea ni fani kama fani nyingine.....kama kucheza Mpira na n.k ha ha ha
 
Hahahahahaa hata mimi nitataka hayo maoffer ila sio kwa kujipendekeza kule kwakweli.

Mie nahisi pia konections nazo lazima bibie Nacky alizitaka maana hakuna kingine Mange anamkandia zaidi ya kujipendekeza na umbeya, so lazima ana akili fulani ya maendeleo na kusaka pesa.

Ni kama wake wanaoshinda wanasumulia rafiki zao juu ya waume zao bila kuficha kitu...lol
 
Dada wa south siyo Mwamvita kuna mdada sijui hata jina lake yupo New York kwa sasa
mzurimie umeona sasa? Mimi nilikuambia tu kuna walakini...kama angekua Mwamvita angemsema tu kwa jina lake.
 
Last edited by a moderator:


Huo upuuzi ndio sitokaa niufanye ever.Kuna wanawake wa ajabu jamani ukisikiliza story zao utachoka!
 
mzurimie umeona sasa? Mimi nilikuambia tu kuna walakini...kama angekua Mwamvita angemsema tu kwa jina lake.

Ndio mambo ua udaku wa nisiowajua najiwekea jina naendelea kusoma....lol
 
Last edited by a moderator:
Yaaaani nimechukua lisaa limoja kusoma comments zoteeee aisee mjini kuna mambo laaah!!!! warumi, nifah, nimewamic sana mabinamu

Miss you too dear, wewe nae unapotea sana bibie khaaa!
 
Last edited by a moderator:
Network niliko ni tabu kweli niko madongo poromoka huku umbew wanipita fyuuuuuuu

Jamani si uhamie airtel tu? Au mtandao wowote unaokubali huko?
Mimi naona ningenunua line za kila mtandao hadi niwe hewani, ubuyu sio wa kukosa kabisa.
 
warumi itabidi ufungue group humu sijui yanaitwaje yale tujiunge tupate ubuyu....bado nacheka na uliyosema ya wanga kukutana usiku...lol

Hata mimi nilishawaza hiki kitu.Na tunataka wambea tu watu wengine hatuwataki.
Sasa wale ambao hua wanapita huku kusoma umbea itakula kwao...
Natamani mimi ndio nipewe access ya kuruhusu members, nitahakikisha hakuna zaidi ya wambea kwenye hilo group. warumi fanya hivyo basi....au mbea mwingine anayejua kufanya hilo jambo.
 
Last edited by a moderator:
warumi itabidi ufungue group humu sijui yanaitwaje yale tujiunge tupate ubuyu....bado nacheka na uliyosema ya wanga kukutana usiku...lol

Aahahah hahahah, nimejikuta na mimi nikicheka kwa nguvu apa navutia picha apa, unakuta mtu mchana anakwambia mchawi, then usiku mnakutana wote uko mnawanga uchi wa mnyama, halafu unakuta anakuuliza we mchawi eeh? AHaha hahaha mbavu zangu
 
Last edited by a moderator:

Weraaaaa!! ,tutawakomesha sana wale wanaojifanya hawapendi umbea, ila thread unakuta ina viewers 3k au 9k ,sasa najiuliza hawa watu wote wametokea wapi wakati wapigaji umbea ni wale wale na tunao.coment humu wote wanajulikana, nikaja kujua kumbe umbea ni ugonjwa wa taifa binamu, yani tutawakomesha manina mpaka wakome
 
Last edited by a moderator:
Aahahah hahahah, nimejikuta na mimi nikicheka kwa nguvu apa navutia picha apa, unakuta mtu mchana anakwambia mchawi, then usiku mnakutana wote uko mnawanga uchi wa mnyama, halafu unakuta anakuuliza we mchawi eeh? AHaha hahaha mbavu zangu

Ndio hao hao umewapa lao haswaaaa wanasoma udaku wakimaliza kwa kunogewa wanafika mwishoni wanatamani zaidi, wanaona ngoja warushe kikomenti eti wengine wanapenda udaku...uwa nachekaga maana hawawezi sema kama hawakusoma...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…