Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Tulivyo wadada wengi kwetu kitchen party hatualiki mtu maana wenyewe tunatosha sijui rafiki wa kutafutana nae undani nitamtaka wa nini.. mara chache sana utampata rafiki wa ukweli wewe unaweza kuwa wa kweli kwake yeye akakuona kiazi tu.
 
Umekipata ulichokitaka, nakujua sana wewe mwanamke!
Hahahahahaa!


acha uchawi hujui mwez mtukufu umekaribiaaa,basi na Mie sitaki Geniveroz awemo alaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
siku hizi unauza fish? mbona hukusema ningekununuza ila ndo ushachelewa nimetoka kidogo


heheeeeeeeee yoloooo nauza samaki aina wote nipe namba yako nikutumieee 😆😄
 
Jamani jamani mtamkosesha Max ulaji... jukwaa hili lilikuwa linajaa kwa umbeya sasa umbeya mumeamua kuupeleka strong room?!

Tuoneeni huruma na sie tusio na mashoga jamaani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…