miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Oooh asante dear
Lakini siko interested.....nina ma group mia kidogo lol
Oooh asante dear
Lakini siko interested.....nina ma group mia kidogo lol
Teh teh umenichekesha.......
Wameniweza kweli nahisi Casio ndio huwa ananipa hizi ban manake hampendi shogangu kufa
Teh teh umenichekesha.......
jamaniiii sasa group Mia unajigawajeeee jamanii teh teh
nawe unanishushuaa lol najua kinachoendelea
Haaaaaaaa LOL
Kinaendelea wapi?......shughuli zinazingua mie huoni naingia kiminyato?
Ila likipinduka usije kwa Prime Ministry....unakumbuka kipindi kile?
Siku hizi umekua adimu kweli.. Umeadimika kama chozi la samaki lol
Haaaaaaaaaa nimekupendaje bure Dina..
Kinaendelea wapi?......shughuli zinazingua mie huoni naingia kiminyato?
Ila likipinduka usije kwa Prime Ministry....unakumbuka kipindi kile?
Hatari mwanawane.....hivi kumbe kuna watu wapo serious hivyo.
Tatizo ni notification ndo maana inasumbua sana. Huko kwa website nimejaribu sijaizoea wala kuijulia.
hhhhhaaaaa nimekusomaa aiseeee
Ha ha ha nitakutoa baluuuu aiseee......na hivi nipo kiminyato kama nimeua mzungu wa strabag