Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Weeeeee

Babu akioana na Mange hiyo vita mtaiweza ?????

Last edited by a moderator:
Ila baada ya ile posti ya mange siri zote za uvunguni za wote 26 zitakuwa hadharani.... labda mange abanie comment

Na ni mnafiki kweli akiwa nje ana pretend ka malaika kumbe na mchafu ka wengine. Hyo ya mwa FA kumla mzigo niliona. Kumbe na yeye wale wale. Ana mpapu mwenzake andika hivi hafu baadae anamponda hajielewi loh!
 
Kitajiju na umbea wake bwana.Ndio walewale akina Nancy wapole wa sura rohoni chui mwenye njaa kali.
Tusubiri hiyo ndoa yake sasa.

Hivi anaolewa na nani huyo Flaviana. Kuna kipindi niliona amevishwa Pete.
 
Mbona una list ndefu ya watu uliogombana nao? Wewe utakuwa unamatatizo sio bure!
 
Mie pia kwa posti ya leo nimempenda bure....

Nani anakubali kuanika mapungufu na madhaifu yake na kukiri alipokosea au kupatia hadharani???

Anyway...nikija yaeda maubuyu ya mjini nitapata????

Njoo Yaeda bana.........

nataka nimualike Mange aje nimpatie asali........coz pombe hanywi..........

namkubali sana huyu dada............
 
Mie pia kwa posti ya leo nimempenda bure....

Nani anakubali kuanika mapungufu na madhaifu yake na kukiri alipokosea au kupatia hadharani???

Anyway...nikija yaeda maubuyu ya mjini nitapata????

Mimi ni mke wa balozi.......minara yote ya mawasiliano tunaimiliki..........labda siku moja moja tukiamua kuifunga..............
 
Asee..hawa si ndugu
Ikumbo
Nafue
Nacky
Na wote kagombana nao

vuruga kabisa.........ila huyo Nacky atakuwa wa namna gani........?.......mbona wanamuongelea vibaya hivyo........?........
 
vuruga kabisa.........ila huyo Nacky atakuwa wa namna gani........?.......mbona wanamuongelea vibaya hivyo........?........
kwa nacky na Flavian nawajua fika alichosema mange ni u kweli mtupu ni watu wabaya mno.....kuna mmoja wa hao aliniumiza mnoooo ...ni maelezo marefu siwezi andika hapa
 
kwa nacky na Flavian nawajua fika alichosema mange ni u kweli mtupu ni watu wabaya mno.....kuna mmoja wa hao aliniumiza mnoooo ...ni maelezo marefu siwezi andika hapa

Andika kwani wewe ni verified user?
 
kwa nacky na Flavian nawajua fika alichosema mange ni u kweli mtupu ni watu wabaya mno.....kuna mmoja wa hao aliniumiza mnoooo ...ni maelezo marefu siwezi andika hapa

Andika basi japo kwa ufupi jamani! Maana kuna watu wanawatetea kua ni watu wema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…