BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Weeeeee
Babu akioana na Mange hiyo vita mtaiweza ?????
Babu akioana na Mange hiyo vita mtaiweza ?????
Huyu Mange na babu yake BADILI TABIA bora waoane tuu...yani wanapenda umaarufu wakijinga kabisa yani anaona sifa kugombana hata na dunia nzima duu!
Halafu karibu 99.9% ni wanawake wenzie....duu nimeamini kikulacho ki nguoni mwako maana wengi wao walikuwa marafiki zao!
Kuna msanii alisema hivi!
" Huwa na na mshangaa na sijui inakuwaje...ninapo muomba Mungu anipunguzie wanifi ndipo ninapo wapoteza marafiki-Fidq "
Mtu kama Mange hawezi kuwa na urafiki na mtu kwa sababu anapenda umaarufu wakijinga kabisa!
Last edited by a moderator: