BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
kwa nacky na Flavian nawajua fika alichosema mange ni u kweli mtupu ni watu wabaya mno.....kuna mmoja wa hao aliniumiza mnoooo ...ni maelezo marefu siwezi andika hapa
vuruga kabisa.........ila huyo Nacky atakuwa wa namna gani........?.......mbona wanamuongelea vibaya hivyo........?........
kwa nacky na Flavian nawajua fika alichosema mange ni u kweli mtupu ni watu wabaya mno.....kuna mmoja wa hao aliniumiza mnoooo ...ni maelezo marefu siwezi andika hapa
Hebu funguka tujue vizuri mana kwa vile Mange kaongea watajua ni uzushi. Ikiwezekana na picha zao mweeeeeh.
Sikumbuki anaitwa nani yule mkaka ila ni kijana wa kichagga. Mdakuzi aliwahi kuweka picha yake huku kipindi fulani.
Hicho kiflaviana kumbe ndio kinafki hivyo?Halafu umeona ile comment ya anavyopigwa three some na akina FA? Ni balaa.
kwa nacky na Flavian nawajua fika alichosema mange ni u kweli mtupu ni watu wabaya mno.....kuna mmoja wa hao aliniumiza mnoooo ...ni maelezo marefu siwezi andika hapa
Mwaga ubuyu banaa.....
Kumbe huyo nacky ana mambo mabaya kama anavyosifika mitandaoni?????
Kuna mwwnye kapicha kake???
Au anatumia id gani IG ( sipati picha followers watakaowakusanya leo)
Yafupishe jaman tujifunze na sie tuwaepuke maana flavy toka juzi ananitext anatak tuwe marafik, kumbe mnanfik ehh
warumi kiboko. Aliweka wazi kabisa ndo yamejirudia Leo. Na huyo bwana nasikia alikuwa na MTU wanaishi km hubby and wife thou ndoa ilikuwa bado. Flavy akamnyakua.Ohoooo, nimekumbuka kweli aliwahi kusema.Kweli nimemvulia kofia warumi ni mbea aliyeshindikana!
Bibie naona kawa mzungu haswaaa!
Waafrika na three some wapi na wapi?
Ohoooo, nimekumbuka kweli aliwahi kusema.Kweli nimemvulia kofia warumi ni mbea aliyeshindikana!
Bibie naona kawa mzungu haswaaa!
Waafrika na three some wapi na wapi?
Hats warumi alishaisema hii ya three some kipind flani. Itakuwa ni kweli
Eehe kumbe mnakumbuka eeh? Yule anajificha mauchafu yake, maana three some kwao ni fashion, jaman mdada kafanywa yule, mpaka kupata madeal uko south na nchi nyingine kashachezea sana duduz, hawa wanaoenakana wasaf kwa kuwa image yao waliojiwekea kwenye jamii tu ila ni wachafu mama ubaya anasubir, sema wema mcharuko tu na watu wanamfuatilia sana ila ngoma zile mtu nyeusi ni noma
Loh warumi mhhh kote huko kutaka umbea hadi kujifanya Wa mjini hehehe