BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
kwa nacky na Flavian nawajua fika alichosema mange ni u kweli mtupu ni watu wabaya mno.....kuna mmoja wa hao aliniumiza mnoooo ...ni maelezo marefu siwezi andika hapa
Mwaga ubuyu banaa.....
Kumbe huyo nacky ana mambo mabaya kama anavyosifika mitandaoni?????
Kuna mwwnye kapicha kake???
Au anatumia id gani IG ( sipati picha followers watakaowakusanya leo)