warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Shes so real...nimempenda bureee!
Nimemkubali sana huyu mwana mama, anaandika vizur, na anajua kuteka akili za watu kupitia maandishi yake, she is good, nimempenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shes so real...nimempenda bureee!
Mjini sihami
Nimemkubali sana huyu mwana mama, anaandika vizur, na anajua kuteka akili za watu kupitia maandishi yake, she is good, nimempenda
Nimetoka kulisoma huko u turn nusu saa iliyopita hadi kichwa kinauma kwakweli.
Hongera zake, ni typist mzuri sana.
Nimemkubali sana huyu mwana mama, anaandika vizur, na anajua kuteka akili za watu kupitia maandishi yake, she is good, nimempenda
Mjini sihami
Nilisoma hadi nikachoka refu hilo. Cha Flaviana na Magese vimenishangaza mno. Hao ndo marafiki ati!
Hicho kiflaviana kumbe ndio kinafki hivyo?Halafu umeona ile comment ya anavyopigwa three some na akina FA? Ni balaa.
Hahahahaa binamu sijawahi kukuona ukimkubali Mange ila leo tu.
Hicho kiflaviana kumbe ndio kinafki hivyo?Halafu umeona ile comment ya anavyopigwa three some na akina FA? Ni balaa.
Mange tunamsema kwa mabaya ila mazuri yake tumpe tu kama hivi.
Ni wa ukweli sometimes.
Ila na wewe hupitwi? Kila habari umo!
Na ni mnafiki kweli akiwa nje ana pretend ka malaika kumbe na mchafu ka wengine. Hyo ya mwa FA kumla mzigo niliona. Kumbe na yeye wale wale. Ana mpapu mwenzake andika hivi hafu baadae anamponda hajielewi loh!
HUlka yake ndio inamfanya aonekane mbaya, duh nimechoka flavy kumbe nae mbea eeh? Loh ndio maana hakanenepi
Msipende kusikiliza upande mmoja.
Msipende kusikiliza upande mmoja.
Mwenzangu nimechokaje? Ila hilo suala la Flaviana kumteta Millen nilishalisikia na hii leo nilivyosikia na mengine nimeamini.
Hilo la kugawa ....... niliwahi kusikia pia hayuko nyuma shoga.
Hahaha acha mambo yako! Unatabia za Flaviana nini?
Nimependa alivyoelezea bifu lake na millen, eti anakiri kabisa ye mbea ni kweli alimkosea, hahahah ahah ,yupo vizur
Katika wanawake wote alio beef nao naona wengi ni wanawake wa nguvu, wenye maisha yao na hadhi zao, kasoro sintah tu ndo naona kidogo anamuonea sidhan kama ni level zake
Hilo la kumpondea Millen sijui kigongwe hapati deal kubwa ka yeye niliskia kitambo kidogo. Nikasema huyu Dada mbona huwa mpole na leo nimeona tena ngachoka kabisaaaa.