Mange na Kimambi wazaliwa

Mange na Kimambi wazaliwa

Huyu dada kwa wanaomsoma maandiko yake karibuni siwalaumu kumuona shujaa
Kuna wakati anasema vya ukweli kuna wakati mmmh! Sasa kama hii za sasa kuhusu "ujazito wa dada Yulee" mmmm! Mange bwana!!!
 
Hana ushujaa anatumikia maslahi yake, anabadilika anytime kulingana na mazingira, Kuna watu huwa anawachukia wakiwa side fulani na yeye lazima anunue ugomvi na she has a price tag
 
hahahaha, wakati huo itakuwa ni baada ya 2020 EDO ndie atakuwa rais?!
Tuombe iwe hivyo lkn ikiwa vinginevyo, walahi kawachongea viumbe wasiokuwa na hatia, mana tuna Raisi wa visasi haijawai kutokea.
 
Hana ushujaa anatumikia maslahi yake, anabadilika anytime kulingana na mazingira, Kuna watu huwa anawachukia wakiwa side fulani na yeye lazima anunue ugomvi na she has a price tag
du! ila sijui anajiamini huyu dada maana haogopi mtu!!
 
Tuombe iwe hivyo lkn ikiwa vinginevyo, walahi kawachongea viumbe wasiokuwa na hatia, mana tuna Raisi wa visasi haijawai kutokea.
Usijali itakuwa na mambo yatakuwa hivi
22406498_253702421822759_8803318875802471004_n.jpg
 
Hana ushujaa anatumikia maslahi yake, anabadilika anytime kulingana na mazingira, Kuna watu huwa anawachukia wakiwa side fulani na yeye lazima anunue ugomvi na she has a price tag
Muda ukifika kwa wale waliomwagia masiri yao watajuta!
 
Alimwaga siri za Mwamvita Makamba wakati kuna kipindi alisema hana rafiki mwenye roho nzuri na anaweza kukupa hata dola 2000 bila kujiuliza kama Mwamvita
 
Anaogopa ila sema hana busara! Siipendi Ccm ila huyu dada kwa jinsi alivyomtukana na kumzushia Lowasa vitu vya ajabu 2015, nashangaa hata hao CDM wanaojiachia kumuamin
Hata ile ya Geita kuwa |EDO "kajiendea haja kubwa" yeye ndie alizusha
 
Anaogopa ila sema hana busara! Siipendi Ccm ila huyu dada kwa jinsi alivyomtukana na kumzushia Lowasa vitu vya ajabu 2015, nashangaa hata hao CDM wanaojiachia kumuamin
Tuko pamoja.
Sio mtu wa kumuachia mtoto wako
 
Alimwaga siri za Mwamvita Makamba wakati kuna kipindi alisema hana rafiki mwenye roho nzuri na anaweza kukupa hata dola 2000 bila kujiuliza kama Mwamvita
He! Mungu wangu!!!
 
He! Mungu wangu!!!
Ukiona post zake za kumsifia Magufuli na anachoandika sasa hivi, na kama unajua psychology ndogo tu ya mtu hauwezi kumuamini au ukamuita mwanao jina lake eti ni shujaa
 
heri angewaita hata treni na mwendokasi
why? mimi namuona Mange ni mwanamke anayejisimami. Ni fighter kama aliweza kupenyeza kufika huko aliko, siwezi kum underate! Mamdenyi huwezi kufanya anayoyafanya. Unaweza usione lakini ukiingia ulingoni ndipo utajua tofauti
 
Back
Top Bottom