Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Duuuh! [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shost yangu kajifungua watoto mapacha, wakike na wa kiume.
Wanafamilia wamekaa pamoja na kuwapa watoto hao majina.
Msichana ameitwa Mange na Mvulana anaitwa Kimambi.
Hongera zake kwa kupata watoto mapacha