Mange unataka kufundisha nini wanawake?


Huyo dada naona watu wengi sana wanamkubali ila wako kwenye denial.

Ni kama wenu mtiifu tu hapa. Najua watu wananikubali sana tu. Kila wakiona mabandiko yangu lazima wasome waone nimesema nini.

Ndo hayo hayo ya binti. Watakuwa wanamkubali sana. Haiwezekani mtu mmoja, tena eti supposedly anayechukiwa saana, kukosesha watu usingizi namna hii. Na hao watu hawaishi kumfuata huko kwenye maushuzi ya sijui Instagram nini nini. Yaani haiingii kabisa akilini aisee.

Halafu anavojua kuwatoa watu mapovu sasa....hahahaaa....just classic textbook. Huwa nahisi kama keshawasoma wajinga wajinga walivyo na anajua nini cha kufanya kuwatoa mapovu na utoko....teh teh teh.

Not to toot my own horn but I wouldn't be least bit surprised if she takes pointers from the best (read: me) on how to aggravate online trolls.

She has definitely taken the mantle of being the number one hater aggravater......

USA baby.........
 
Kasema kweli, wanachofanya kinadada wengi ni kutumia uzuri wao "ile kitu" kujipatia material things na si vinginevyo! Hayo maiina sijui baby, honey, hubby, sweetheart ni wizi mtupu!

Alichosema/ andika kina ukweli mwingi tu.

That's what we call 'too much truth'...
 
Nakubaliana na wewe kwa kila nukta, kwa mfano mimi hata siku moja siwezi kuingia blog ya michuzi na hata Mjengwa blog nimeacha kutembelea kwa sababu ya political bias zao, kwahiyo hutoniona hapa kurepoti lolote kutoka blog hizo.

Pili mimi si mshabiki wa ujingaujinga hivyo hata blog ya jamaa yetu Le Mutuz huwa sina muda nayo, sembuse hiyo blog ya Mange? Au hizo Insta zao? Nadhani Le Mutuz na Mange kuna watu wanawazimia sana ila hawajijui kama wanawazimia na kufa kabisa.
 

Mtu unayemchukia sana una muda wa kumfuatilia na kumjadili? I mean, really? Seriously?

Na siyo kumjadili passingly, oh noooo, ni kumjadili kwa masiku mengi tu....tena usiku na mchana.

Where dey do dat at?
 
She is right, no need of enchanting furole to this lass, go and re-read line to line! No disguise; no shame; no rant, she is right.

Women who know how to manouver their 'womanhood' are very successful..ref V Kamatta, mke mdg wa mengi..they aren't sluts but the 'muff' entrepreneurs
 
Mimi naona kama watu hamjamwelewa dada yangu Mange Kimambi, alichokisa kinafanywa na wanawake wote duniani
Ebu tujadili bila kujali nani kusema utaona Kuna ukweli ndani yake Kuna wadada wengi tu wanaajiriwa ajira nzuri simply because of pussy! Wengine wamepewa Ubunge, uwaziri na mishahara hewa BOT mitaani ndo usiseme girls are driving expensive cars because of pussy (although not all) lakini idadi ni kubwa mno beyond comparison!
 
Kwakweli Wanaume wa Dar hamtuangushi hata kidogo linapokuja swala la kuwachamba akina dada, hongera....na umbeya hapo ndio nyumbani!!!??
 
Huwa simjui huyu mange ndo nani by the way Amesema kitu cha ukweli amabcho wanawake wengi wanafanya/kipo katika akili yao
 
Wadada watajifanya kumpinga wakati ndo habari yao ya mujini
 
Bidada baada ya kuachika ndio amegundua power ya pu$$y.!!! Lakini sidhani Kama kipochi chake is worth that much.
 
Mange amesahau hawatoi bure sio Voda tu hata ile 0714
 
Haaaa haa ngoja nirudi Celebrity forum..Nifaaaa Mwasu twendeni zetu kile kwenye Uzi wetu Hatudanganyikiii tunayeee mpaka mwisho..let's go back.
She wants to distract the attention ya ule uzi wa Nifa. Na bado... Aombe poooooo. Sasa mbona hauzi this time anakaa LA ya Unga limited Arusha. Pussy yenyewe, inatakiwa iombewe hiyo. Twendeni celebrities kwenye uzi uleeeee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…