Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hivi tatizo ni Mange? Kingereza alichotumia? Au gundu alilonalo? Wengi inaonekana mnapenda Mange na ndio maana mna muda wa kufunguwa account zake huyu ghibirisi.
Niweke wazi kabisa simpendi kabisa Mange hata siku moja lakini ukweli ni kwamba alichoandika ndio ukweli wenyewe labda kama wengi mnasumbuliwa na lugha ya malkia aliyotumia au chuki zetu kwake zinatufanya kushindwa hata kudiest alichoandika.
Ni kweli tupu wanawake wengi wanaitumia miili yao kutimiza malengo yao, hawatoi K bure na wala hawauzi.
Huyo dada naona watu wengi sana wanamkubali ila wako kwenye denial.
Ni kama wenu mtiifu tu hapa. Najua watu wananikubali sana tu. Kila wakiona mabandiko yangu lazima wasome waone nimesema nini.
Ndo hayo hayo ya binti. Watakuwa wanamkubali sana. Haiwezekani mtu mmoja, tena eti supposedly anayechukiwa saana, kukosesha watu usingizi namna hii. Na hao watu hawaishi kumfuata huko kwenye maushuzi ya sijui Instagram nini nini. Yaani haiingii kabisa akilini aisee.
Halafu anavojua kuwatoa watu mapovu sasa....hahahaaa....just classic textbook. Huwa nahisi kama keshawasoma wajinga wajinga walivyo na anajua nini cha kufanya kuwatoa mapovu na utoko....teh teh teh.
Not to toot my own horn but I wouldn't be least bit surprised if she takes pointers from the best (read: me) on how to aggravate online trolls.
She has definitely taken the mantle of being the number one hater aggravater......
USA baby.........