Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

Yummie, jisahihishe please, kampeni haziko hivyo kumchafua mtu matusi ya nguoni tena ambaye anaweza kua baba yako. Prado asante kwa kulileta hili, limekera wengi mno. nasikia she's paid - naota jamani - anamdhalilisha sana huyu baba. insha allah mungu atamuona, ukweli October 25, sijui ataweka wapi uso wake. Kenyewe sasa kalivyo pyuuu..!!! hata mbwa hali... lakini kujiona... jamani....
Sasa we usiumie hakikisha 25 Oct unamchagua mtu wako,kampeni ndivyo zilivyo
 
Huyo Mange bhana....kazi pekee anayoweza kuifanya kwa ufanisi ni kuchafua watu!
 
Haaaaa teehhh! Mange kiboko, kagombana na mtu huko inst. katukana ukoo mzima mpaka hawara wa babake kamtaja kabisa TUNNU MSIKA wa Air tell, maskini dada wa watu pole yake, achokoze mwingine atolewe siri hadharani yeye, Mange hapana aisee bora kampeni ingeendelea tu aache kutukana watu.
 
Kagombana na nani?
 
Si kwa michupi ile jamani Mange ptyuuuuu...ndo maana ana muda wa kuandika migazeti
 
Haaaaa teehhh! Mange kiboko, kagombana na mtu huko inst. katukana ukoo mzima mpaka hawara wa babake kamtaja kabisa TUNNU MSIKA wa Air tell, maskini dada wa watu pole yake, achokoze mwingine atolewe siri hadharani yeye, Mange hapana aisee bora kampeni ingeendelea tu aache kutukana watu.

Haaa mwenzake alimwandika kuwa walienda kwa uncle yake yeye huyo kupokea mahali hakuwa na pakwenda na mengine kibao gazeti haswaaaaa naona ndio anajibu ila Mange ndio alimuanza kumsingizia huyo ndio kichwapanz anayempakua kila kitu cha ndani kwa akina mange ameweka wazi so akaanza kuhisi nibhuyo mdada kumbe siyo anavyodai kichwapanz sasa pamenuka
 
Fungeni hii kitu muda wake ulishaisha. Mtu kishagalagazwa.

Mbona siredi za mwaka 2006 zimo hii ifungiwe nini?

Kazi ipo maana wamemtoboa nae huko insta ukweli upo nje aaaaggh

Haya maisha nawaachia mie huko Tandale nasikiliza Nasema Nawe sasa hivi.
 
huyo anaye chambana na mange anatumia jina gani insta?,,,
 
Haaaaa teehhh! Mange kiboko, kagombana na mtu huko inst. katukana ukoo mzima mpaka hawara wa babake kamtaja kabisa TUNNU MSIKA wa Air tell, maskini dada wa watu pole yake, achokoze mwingine atolewe siri hadharani yeye, Mange hapana aisee bora kampeni ingeendelea tu aache kutukana watu.

Hiyo ya tunnu wala haishtuwi ni maneno ya Mange tulokwisha yazoea.
Ebu nenda kule kwa Zenat ukajionee aibu ya mwaka hahaaa si kwa chupi zile za mke wa mzungu aiseee!
 
Haahaa Zenat nae majanga alikuwa anapiga picha chupi kabla ya kuzifua? uwii hebu leta jina nimfolloww da zenat.
 
Back
Top Bottom