Da Asia
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 731
- 819
Yummie, jisahihishe please, kampeni haziko hivyo kumchafua mtu matusi ya nguoni tena ambaye anaweza kua baba yako. Prado asante kwa kulileta hili, limekera wengi mno. nasikia she's paid - naota jamani - anamdhalilisha sana huyu baba. insha allah mungu atamuona, ukweli October 25, sijui ataweka wapi uso wake. Kenyewe sasa kalivyo pyuuu..!!! hata mbwa hali... lakini kujiona... jamani....
Sasa we usiumie hakikisha 25 Oct unamchagua mtu wako,kampeni ndivyo zilivyo