Sasa we usiumie hakikisha 25 Oct unamchagua mtu wako,kampeni ndivyo zilivyo
Tunamtaka ivo ivo, na usheitwani wake.
Longtime no see miss, hujambo!?
Nimekumiss tu..
Matokeo vipi?!
Haaaaa teehhh! Mange kiboko, kagombana na mtu huko inst. katukana ukoo mzima mpaka hawara wa babake kamtaja kabisa TUNNU MSIKA wa Air tell, maskini dada wa watu pole yake, achokoze mwingine atolewe siri hadharani yeye, Mange hapana aisee bora kampeni ingeendelea tu aache kutukana watu.

Fungeni hii kitu muda wake ulishaisha. Mtu kishagalagazwa.
huyo anaye chambana na mange anatumia jina gani insta?,,,Mbona siredi za mwaka 2006 zimo hii ifungiwe nini?
Kazi ipo maana wamemtoboa nae huko insta ukweli upo nje aaaaggh
Haya maisha nawaachia mie huko Tandale nasikiliza Nasema Nawe sasa hivi.
kachamba house girl wake zena yule alorudi bongo, na ukoo wake wote.Kagombana na nani?
theeforeversaphinakhalfanhuyo anaye chambana na mange anatumia jina gani insta?,,,
Haaaaa teehhh! Mange kiboko, kagombana na mtu huko inst. katukana ukoo mzima mpaka hawara wa babake kamtaja kabisa TUNNU MSIKA wa Air tell, maskini dada wa watu pole yake, achokoze mwingine atolewe siri hadharani yeye, Mange hapana aisee bora kampeni ingeendelea tu aache kutukana watu.
kachamba house girl wake zena yule alorudi bongo, na ukoo wake wote.
Hiyo ya tunnu wala haishtuwi ni maneno ya Mange tulokwisha yazoea.
Ebu nenda kule kwa Zenat ukajionee aibu ya mwaka hahaaa si kwa chupi zile za mke wa mzungu aiseee!