Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

Aaaahaaaa chupi imenichekesha lakini twende mbele turudi nyuma hamna mwanamke asietoka vitu chini
 
Haahaa Zenat nae majanga alikuwa anapiga picha chupi kabla ya kuzifua? uwii hebu leta jina nimfolloww da zenat.

Zenat alichukia baada ya kuwa ananyimwa mshahara wake.
Anatumia acc inaitwa mapya2
 
Zenat alichukia baada ya kuwa ananyimwa mshahara wake.
Anatumia acc inaitwa mapya2

Ndio nimeingia huko

Yesu na Maria ni nini yale hata kucheka nimebakia macho mwaaaaaaaa

Nayeye kwa kutukana alianzaje kutukana mtu aliyeishi nae kihivyo, atakuwa amekiona cha moto.

Uwiiiiiii duh
 
Hahahaaa daaah watu wana mambo sana.

Mtu anapiga picha chupi zenye utoko?

Sasa kuna uthibitisho gani kwamba hizo chupi ni za Mange na si za kwake au mtu mwingine?

Huu ni upumbavu.
 
mange kapata kiboko yake...si kwa michambo ile ya kichwa panzi huko insta..huko kwa matajiri ambako hakuna watu weusi sijui kama kunakalika saivi.
 
Mwisho wa siku Mange ndo Mshindiii... ungekuwa na akili ungeudelete huu uzi tu
 
Mwisho wa siku Mange ndo Mshindiii... ungekuwa na akili ungeudelete huu uzi tu

Kumbe wanagombania kombe au? Lini wanapewa tuzo hizo

Ushindi gani wakati wamechafuana haswa yeye ambaye ndio buloga mtafuta wafuasi na biashara....

Wataji jj na ndio watu wakome kutukana ovyo watu wengine kama vile wao hawana ya kuhaibishwa nayo.
 
Ndio nimeingia huko

Yesu na Maria ni nini yale hata kucheka nimebakia macho mwaaaaaaaa

Nayeye kwa kutukana alianzaje kutukana mtu aliyeishi nae kihivyo, atakuwa amekiona cha moto.

Uwiiiiiii duh

Hahah ni kichekesho kwakweli na ni aibu kwa upande mwingine.
Mange alijishebedua kumdharau mwenzie na kumwita mbwa mfua chupi Zenat nae wala hakukataa masikini akakubali kweli alimfulia chupi na machupi yenyewe ndo yale loooh!!! Hiyo ni zaidi ya suprise aisee!!
Ye angedeal na walokuwa wakimchamba Zenat akamuacha dada watu
 
Haya wale mabinti waliokuwa wanatoroka shule kwenda kusaka wazungu sleep way sasa myajue kuwa kuna kuhesabiwa chips. Someni jamani mtafute vya kwenu maisha ya insta ni sanaa.
 
Aaaahaaaa chupi imenichekesha lakini twende mbele turudi nyuma hamna mwanamke asietoka vitu chini

Utoko ni swala la kijinsia.
Ila hadi wa kuwa mzito vile wa njanooo!!Hivi tajiri hana hata washing machine??
 
Mwisho wa siku Mange ndo Mshindiii... ungekuwa na akili ungeudelete huu uzi tu

Ulishawahi ona kuna mshindi wa MATUSI na DHIHAKA?
Mange ana haibika.Siri nyingi nje, alikua hana utajiri wowote.Na kochi moja, mmewe akikasirika anavunja vyombo.
Bloodymonkey!!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ulishawahi ona kuna mshindi wa MATUSI na DHIHAKA?
Mange ana haibika.Siri nyingi nje, alikua hana utajiri wowote.Na kochi moja, mmewe akikasirika anavunja vyombo.
Bloodymonkey!!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Temper .huyo zenat ndio nani ?
 
Kumbeeeee loooooo

Hiyo duh hakujua alivipiga picha teh teh teee

Kawa mdogo mdogo naona mange ameamua kutukana kwa kutumia akaunti feki na kuzibadili majina.
 
Kumbeeeee loooooo

Hiyo duh hakujua alivipiga picha teh teh teee

Kawa mdogo mdogo naona mange ameamua kutukana kwa kutumia akaunti feki na kuzibadili majina.

haa haa hivi si alisemaga amemfungulia kichwa panzi kesi na akadai hamjibu coz hataki kuharibu kesi? mbona sasa ameanza kumjibu?...mwanamke muongo yule!!!!
 
haa haa hivi si alisemaga amemfungulia kichwa panzi kesi na akadai hamjibu coz hataki kuharibu kesi? mbona sasa ameanza kumjibu?...mwanamke muongo yule!!!!
yaani siamini unajua ndo maana kiki alimwaga kumbe choka mbaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…