Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaa Zenat nae majanga alikuwa anapiga picha chupi kabla ya kuzifua? uwii hebu leta jina nimfolloww da zenat.
Aaaahaaaa chupi imenichekesha lakini twende mbele turudi nyuma hamna mwanamke asietoka vitu chini
Zenat alichukia baada ya kuwa ananyimwa mshahara wake.
Anatumia acc inaitwa mapya2
Mwisho wa siku Mange ndo Mshindiii... ungekuwa na akili ungeudelete huu uzi tu
Ndio nimeingia huko
Yesu na Maria ni nini yale hata kucheka nimebakia macho mwaaaaaaaa
Nayeye kwa kutukana alianzaje kutukana mtu aliyeishi nae kihivyo, atakuwa amekiona cha moto.
Uwiiiiiii duh
Aaaahaaaa chupi imenichekesha lakini twende mbele turudi nyuma hamna mwanamke asietoka vitu chini
Mwisho wa siku Mange ndo Mshindiii... ungekuwa na akili ungeudelete huu uzi tu
Ulishawahi ona kuna mshindi wa MATUSI na DHIHAKA?
Mange ana haibika.Siri nyingi nje, alikua hana utajiri wowote.Na kochi moja, mmewe akikasirika anavunja vyombo.
Bloodymonkey!!!😀😀😀
Hahah ni kichekesho kwakweli na ni aibu kwa upande mwingine.
Mange alijishebedua kumdharau mwenzie na kumwita mbwa mfua chupi Zenat nae wala hakukataa masikini akakubali kweli alimfulia chupi na machupi yenyewe ndo yale loooh!!! Hiyo ni zaidi ya suprise aisee!!
Ye angedeal na walokuwa wakimchamba Zenat akamuacha dada watu
Kumbeeeee loooooo
Hiyo duh hakujua alivipiga picha teh teh teee
Kawa mdogo mdogo naona mange ameamua kutukana kwa kutumia akaunti feki na kuzibadili majina.
lowassa mbele kwa mbele
yaani siamini unajua ndo maana kiki alimwaga kumbe choka mbaya tuhaa haa hivi si alisemaga amemfungulia kichwa panzi kesi na akadai hamjibu coz hataki kuharibu kesi? mbona sasa ameanza kumjibu?...mwanamke muongo yule!!!!