brian mwakibete
Member
- Oct 30, 2015
- 35
- 5
mapya2
December 6, 2015 3:03pm
Tweet
wapenzi wangu karibuni sana . sunday yangu ndio namaliza hivi na coca cola ya baridiiii pembeni maeneo ya kujidai Yombo Inn... !nikondee nini mimi zenatAlhamudillah
33 Likes
26 Comments
koko_taiwan about 3 hours ago
Kama mambo ya yombo ni hivi nitafutie chumba full marahaaaa
lilianmasea109 about 3 hours ago
Mapya2 haaaa iyooo si naniii iyoooo ww
mrs_arsene_wenger about 3 hours ago
Hahahahahaha kwa raha zako ingekua kwa obama nyama ungekula finyango moja..dar tamu bwana@rosilitarosie
mapya2 about 3 hours ago
Lilianmasea109 mbuzi huyo mdogo wangu usiogope
lilianmasea109 about 3 hours ago
Mapya2 eenh mwaya jilie zako ulaya avipo.kama ivyo
mapya2 about 3 hours ago
koko_taiwan yaani full rahaa usikiee Yombo sijutii kurudi kabisaa. yaani yule mtoto kanifanya nimepachukia sana kwa obama wallah kwa mateso
hotiefigure about 3 hours ago
Jmn metamani Happiness_unique
mapya2 about 3 hours ago
Mrs_arsene_wenger sibutuu mle nyamaa mtambee mikuku ile misoft ya buy one get mwengine bure. mle nyama ?? madai yao read meat sio nzuri. kumbe bei
nitriclady about 3 hours ago
Da zenat kwa kweli ulivumilia mengi, hasa hapo ulipokuwa unalala, kulala chini ni kipaji, waweza umwa mgongo kwa kweli
mapya2 about 3 hours ago
@nitriclady utafanyaje na yule mwanangu..nimefanya kwa mapenzi mpaka nimebwatuka mjue yamenifikaa hapaaa. na kujisafisha jina langu kanitukana mnoo kisa kudai nguvu zanguu na still hajalipazote. ila namuachia Mungu jasho la mtu haliliwi. na pia wasomjua wamjue anapenda kujifanya ni victim
mrs_arsene_wenger about 3 hours ago
Mapya2 hahahahahahaha uwiiiii mnakula ile mikuku ya kuvimba yani kuku mmoja anatosha familia nzima lol red meat sio nzuri kumbe mfuko umetoboka hahahahaha mwenzanguu bora ulivyojirudia yombo ungekaa kule ungekufa na jeneza lako lingekua jepesiii marehemu kilo zingekua kama za mtoto by the way pole una moyo wa paka hata hivo ulimaliza mwaka vile mie miezi tu ningeomba kurudi hahahaha
koko_taiwan about 3 hours ago
Mrs_arsene_wenger lol nakutupaaaaa
nzamaswati about 3 hours ago
Hahaaaaaa mwanjybaby
penda_wema about 3 hours ago
Sio read meat ni redsiulipelekwa English course wewe
mapya2 about 3 hours ago
penda_wema kama angekua bosi wako hanihesabii chipsi na kunilaza chini ningekuwa na ufahamu sana wa kuelewa darasani english course.. mlaumu yeye
nitriclady about 2 hours ago
Dada Zenat kuhesabiwa chips? Da pole sana, mimi ninavyopenda kula wallahi ningebaki kilo mbili. Nikifikiria kwangu tunakula mpaka tunasaza, nihesabiwe chipsi, ningekufa kabisa
my_president_lowassa about 2 hours ago
umenitamanisha jamani
happiness_unique about 1 hour ago
Jamani mate yananitoka uwiiiiii@hotiefigure
mrs_fischer about 1 hour ago
Hahahahaha!naumwa miye sio kwa mmlo huo
mrs_fischer about 1 hour ago
hotiefigure siye tule kwa picha tu.
hotiefigure about 1 hour ago
Umeona eeh Happiness_unique
hotiefigure about 1 hour ago
Mrs_fischer
margarethdelailah 42 minutes ago
@@c.heartless @@queensadick @@cutezida @@ternisher @@beatrice_in_me haya sasa bingwa wa uchambaji nae anachambwa njoon muone mjini tusihame
martinmarietha 37 minutes ago
khadijaahmed454
mrs_arsene_wenger 8 minutes ago
koko_taiwan hahahaha mambo ya kuhesabiwa kiepe vipi
cute_ime 8 minutes ago
Uwiiiiii
Report Offensive Content
ABOUT
Help / FAQ
Contact Us
Privacy Policy
Terms of Service
This product uses the Instagram API but is not endorsed or certified by Instagram.
? 2015 Pikore
Vagas de emprego no Brasil

Last edited by a moderator: