MangeKimambi, kinara wa maandamano ya Oktoba 29 huyu hapa

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585
Screenshot_20251014_110615_Facebook.jpg

Tanzania haina wajinga na watu wenye fikra fupi na wala hawatakaa wawepo.

Kama kuna mtu anadhani anaweza kukaa ughaibuni huko na kuposti mtandaoni eti wenzake waingie mtaani siku na saa fulani kuandamana kisha yeye atumiwe klipu kuposti huku akiwa anapunga upepo na kunywa sharubati basi anajidanganya.

Endelea kufurahia matumizi ya bando.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kwani huyo mange anaathirika vipi na maisha mabovu ya bongo?
Kodi zinazoliwa, makato holela.. laini ya spika wa bunge haina makato yako ww ukimtumia mama yako sitimbi inakatwa.

Unadhani hali ingekuwa imenyooka kuna watu wangemsikiliza huyo mange na kifupi mange sio anasikilizwa, ila anapata nguvu sababu wengi hawana pakusemea, mange umekuwa kama spika ya wengi, hivyo watu wanapambana spika isiishe chaji.

Ila kifupi bongo yanayoendelea ni uozo mtupu, kungekuwa na free of speech huyo mange saa hizi angekuwa anatamba na skendo za kina mondi tu...

We uko bongo jichanganye kusema ukweli, kuna ufisadi huu na huu, uone kitakachokusibu
 
We watu walishakujua
HAUNA MADHARA YOYOTE YALE
 
Maandamano ni kosa kisheria Katiba inasemaje kuhusu maandamano mbona mnataka kufanya kama katiba haina jambo zuri lolote kwa wananchi kama ni haki yao ya msingi na katiba imeruhusu kwa nini mkataze maandamano ila Kwasababu wajinga bado wengi Ila Mabadiliko yatakuja kutokea Tanzania ilo ni lazima hata kama sio leo wala kesho tena maandamano makubwa propaganda zenu hizi sijui maandamano sijui kurinda Amani sasa nyie Endeleeni kuteka kutotenda Haki kuna siku asubuhi mtakuta maandamano bila kuitishwa na mtu
 
Andaeni ndege za kuwatorosha na familia zenu kama Rajolina wa Madagascar.

Wananchi tunalikomboa kweli Taifa kutoka kwenye mikono yenu nyie mafisadi hiyo Oktoba 29
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Akili yako umeshikiwa na haka kamalaya!!
Screenshot_20250916_171538_Google.jpg
 
Kwani huyo mange anaathirika vipi na maisha mabovu ya bongo?
Kodi zinazoliwa, makato holela.. laini ya spika wa bunge haina makato yako ww ukimtumia mama yako sitimbi inakatwa.

Unadhani hali ingekuwa imenyooka kuna watu wangemsikiliza huyo mange na kifupi mange sio anasikilizwa, ila anapata nguvu sababu wengi hawana pakusemea, mange umekuwa kama spika ya wengi, hivyo watu wanapambana spika isiishe chaji.

Ila kifupi bongo yanayoendelea ni uozo mtupu, kungekuwa na free of speech huyo mange saa hizi angekuwa anatamba na skendo za kina mondi tu...

We uko bongo jichanganye kusema ukweli, kuna ufisadi huu na huu, uone kitakachokusibu
Ndiyo kabisa na akilli zako uache shughuli zako eti umeambiwa na MangeKimambi uamdamane
 
Back
Top Bottom