Umefirwa sana kijana.View attachment 3488359
Tanzania haina wajinga na watu wenye fikra fupi na wala hawatakaa wawepo. Kama kuna mtu anadhani anaweza kukaa ughaibuni huko na kuposti mtandaoni eti wenzake waingie mtaani siku na saa fulani kuandamana kisha yeye atumiwe klipu kuposti huku akiwa anapunga upepo na kunywa sharubati basi anajidanganya. Endelea kufurahia matumizi ya bando.
Sasa unamuonea wivu Mange Kimambi.