G
guest-1790917349
Guest
Hajakonda, kajipunguza kwa dietMbona kakonda sana
Hajakonda, kajipunguza kwa dietMbona kakonda sana
Kwanza hana shida km ww 😃huo ndo ukweli...View attachment 3488359
Tanzania haina wajinga na watu wenye fikra fupi na wala hawatakaa wawepo. Kama kuna mtu anadhani anaweza kukaa ughaibuni huko na kuposti mtandaoni eti wenzake waingie mtaani siku na saa fulani kuandamana kisha yeye atumiwe klipu kuposti huku akiwa anapunga upepo na kunywa sharubati basi anajidanganya. Endelea kufurahia matumizi ya bando.
Yaani upuuz mtupuShida yenu kubwa nyie machawa ni Ile Ile mnahangaika na mtoa hoja na sio hoja zake...
Nilitegemea Mtoke na ushahidi mpinge yale anayoyasema huyo dada kuhusu nchi inavyotafunwa matokeo yake unatafuta picha yake akiwa beach unatukana Sasa ulitaka avae suti na tai akiwa ufukweni? Ebu msitufanye sisi wajinga miaka yote
Kweli unakubali kushawishiwa na hiki kichangudoa??Shida yenu kubwa nyie machawa ni Ile Ile mnahangaika na mtoa hoja na sio hoja zake...
Nilitegemea Mtoke na ushahidi mpinge yale anayoyasema huyo dada kuhusu nchi inavyotafunwa matokeo yake unatafuta picha yake akiwa beach unatukana Sasa ulitaka avae suti na tai akiwa ufukweni? Ebu msitufanye sisi wajinga miaka yote
Kwani unateseka?View attachment 3488359
Tanzania haina wajinga na watu wenye fikra fupi na wala hawatakaa wawepo. Kama kuna mtu anadhani anaweza kukaa ughaibuni huko na kuposti mtandaoni eti wenzake waingie mtaani siku na saa fulani kuandamana kisha yeye atumiwe klipu kuposti huku akiwa anapunga upepo na kunywa sharubati basi anajidanganya. Endelea kufurahia matumizi ya bando.
Naona hii Moderator wameiacha ikae. Huu uzi utachafuka sio muda kwa picha za makada wengine kama hizo.View attachment 3488359
Tanzania haina wajinga na watu wenye fikra fupi na wala hawatakaa wawepo. Kama kuna mtu anadhani anaweza kukaa ughaibuni huko na kuposti mtandaoni eti wenzake waingie mtaani siku na saa fulani kuandamana kisha yeye atumiwe klipu kuposti huku akiwa anapunga upepo na kunywa sharubati basi anajidanganya. Endelea kufurahia matumizi ya bando.
Hizo mbinu wamekua wanatumia miaka yote wanafikiri sisi watanzania ni mang'ombe hatujielewiYaani upuuz mtupu
Wanaacha kudeal na anayoyaongea wana deal na picha za bech za muhusika
Ht hivyo too late
Huo ni upungfu wa akili, halafu usidhani kila anaeisema CCM ni njaa, hana kazi, ni bora waje hao chademq, tuwajaribu nao wakileta ukenge tunapiga chini, atleast kuna namna watu watakula na kupuliza wakijua nisipofanya nitakosa ulaji, bora nile nao niwape kidogo,Unadhani ikitoka CCM na ikaja CHADEMA itakubadilishia maisha? Forget about that fella!! Kama mpaka leo hii huwezi kujishughulisha na fursa zilizopo jihesabu tu kuwa unasubiri siku yako ya kufa tu
Endelea kumtgemea malaya mcheza sinema za ngono kutoka California
Weka ushahidi hapa
We endelea kuruka ruka tuKERATO MOMBAA unalinda kibarua chako ili uendelee kukaa hapo riverside
Tuhuma za ufisadi hamjakanusha kwa ushahidi.Kukaa nje ya nchi ma kuandika habari zisizo na uhakika na kuzua taharuki zisizo na msingi kwa watu
ImagineHizo mbinu wamekua wanatumia miaka yote wanafikiri sisi watanzania ni mang'ombe hatujielewi
Kila siku huyo dada anaweka ushindi dhidi ya ufisadi mkubwa unaoendelea basi watoke hata na ushahidi wa uongo kupinga hayo yanayosemwa matokeo ya uchunguzi wao wanakuja na majibu kwamba huyo dada ni Malaya
Leteni hoja hapa ,pingeni kwa ushahidi km yeye anavoleta mambo kwa ushahidi sio picha zake hazisaidii wala kurudisha ndugu zetu waliotekwa na kupotezwaMbona wewe hujatuwekea picha yako ukiwa beach??
Zilete ila zisiwe photo shoppedNaona hii Moderator wameiacha ikae. Huu uzi utachafuka sio muda kwa picha za makada wengine kama hizo.
Kama picha zile za kawaida tu waliamua kutufungia, sijui zingine zinazoweza kuwekwa hapa.
Unaishi nyumba ya vioo unaleta ugomvi wa mawe.
Tulienda maadili yetu. Tuilinde amani yetu kwa wivu mkubwa wa kutenda Haki.
CHADEMA utampa nani awe Rais pale?Huo ni upungfu wa akili, halafu usidhani kila anaeisema CCM ni njaa, hana kazi, ni bora waje hao chademq, tuwajaribu nao wakileta ukenge tunapiga chini, atleast kuna namna watu watakula na kupuliza wakijua nisipofanya nitakosa ulaji, bora nile nao niwape kidogo,
Ccm ni kama wamejimilikisha nchi wanakula na wanajua wataendelea kula