Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
☺️😊Binadamu huwezi mwambia binadamu mwenzio kakonda kukonda kupo kwenye MIFUGO mbuzi, ng'ombe, mbwa, kitimoto e.t.cMbona kakonda sana
Tumia neno mbadala ila neno kakonda sio mahala pake.
NAWASILISHA KWA NIA NJEMA KABISA..